Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Mapinduzi baridi ktk lugha ya kidiplomasia, lakini ni Mapinduzi tu.

Ramaphosa ni AU chair ana haja gani ya kutaka kuwa SADC chair? Anyway sikulaumu kwa sababu nafahamu tatizo sio issue tunayoongelea bali ni chimbuko la mirija kukatwa kwenye baadhi ya sekta hapa nyumbani. Imekuwa hivyo kwa kipindi tangu JPM achukue mikoba na kufyeka ule utapeli hiyo ndio issue.
 
Teheteheee tehetehee, kwamba jamaa ni kama sisi wakali wa kuandika ila kuongea hatuwezi, sisi hatupendani mambo ya kuongea ongeaa
Nimeona hii, jamaa yetu anawaangusha sana wenzie, bora tu aachie huo uenyekiti wa SADC.

Jamaa yetu anataka wawasiliane kwa maandishi.

Ramaphosa hajaridhika na uamuzi wake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malawi wanahudhuria
 
Hahahahahaha tunajua tatizo ni yai, watz tuliuziwa mbuzi kwenye gunia 2015. Yaani kila kitu tupo kivyetu, hatueleweki.
 
Kimsingi hii ni aibu kubwa juu ya uwezo na Tanzania katika medani za siasa za ushirikiano Afrika.

Natamani kuingia chini ya meza
 
Rais Magufuli ni kiongozi wa kikanda mbali na kuwa Rais wa Tanzania, anatakiwa kuwa mstari wa mbele hata kuonesha ushirika wake kwa watu katika vita hii dhidi ya COVID19! Kwani kule Mjini Chato anafanya nini hasa? Muda sasa tangu yupo Mjini Chato! What's he doing there?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu tuanzishe uzi wa kumtuhumu Rais kwa mambo makubwa hivyo kwa uongo ili itusaidie nini? Huyo ndiye kiongozi uliyekuwa ukimpigania.
Hahaha. Mkuu kuna jamaa zangu tulikuwa tunakorofisha sana wakati wa uchaguzi, walikuwa magu damu damu, leo hii hawataki hata kumsikia #tutaongealughamoja soon
 
Basi ndio hivyo kaamua kutuvua nguo hadharani watanzania.
 
Kila nchi ina uamuzi wake,tuone hiko kikao cha harusi kama kitatoka na majibu ya maana
Kama yangekuwa ni maamuzi yake asingekubali uenyekiti wa SADC
Kama lugha haipandi angekataa
Mlikuwa mnampongeza humu alipopewa uenyekiti
Akili zenu hazina akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…