Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.
Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
President @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic.
President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The Presidency
------------------------------------------------
Nimerudi tena kusikiliza video,nimejiridhisha ni kweli kuwa Rais wetu hakutaka kushiriki sbb ya changamoto za "logistics"....