Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Video clip imebandikwa kuonesha ushahidi tosha wa habari hii muhimu kwa kuzingatia masharti na vigezo vyote vya JamiiForums ili kuondoa utata.

Na video clip hiyo inaonesha na kusikika bayana aliyosema Rais Ramaphosa kuhusu aliyoaambiwa juu ya 'logistics' alipowasiliana na Rais Mafuguli ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa SADC.
 
NAwashauri wasiyachukue hayo mapemdekezo.
Yatakuwa ni taka taka
 
Hata sisi wengine hapa tunatamani iwe habari ya uongo, maana kama ni ya kweli sijui utajisikiaje kwa hii comment uliyoweka hapa. Kuna mipaka ya kushabikia upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye diplomasia ya kimataifa tumefeli sana. Tunazidi kujitenga na mataifa mengine.
 
leo mzee mzima kachemsha yaani kama Mwenyekiti wa SADC hana excuse ya kukosa mkutano na head of states! Ndo maana nilisema atoke Chato akae Dodoma capital city! Kwenye crisis management nampa 0/10! Sasa mbona Mkapa (Guardian wake) asimshauri, kama Kabudi kashindwa? Amemea pembe sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…