Hii imekaa vibaya! Sasa alivyo anaogopwa sidhani kama NEC CCM inaweza kumshauri!
Wanajua wenyeweNchi nyingine za SADC haziko kwny vita hivyo kwa kipindi hiki?
Uko kwenye Vita gani Mkuu wakati ugonjwa wenyewe mnauita Kakorona tu? Ajabu mnakimbilia kwenda kuroga kijijini ChatoRamaphosa amechanganyikiwa tu baada ya lock down kufeli.anatafuta mchawi
Tupo kwenye vita kali sana,asitake.kututoa kwenye reli,kama ameona kumchafua Rais wetu ndio ahueni ya matatizo yake ya kisiasa ni sawa tu
Rais wako anasema corona ni kaugonjwa kadogo sana watuRamaphosa amechanganyikiwa tu baada ya lock down kufeli.anatafuta mchawi
Tupo kwenye vita kali sana,asitake.kututoa kwenye reli,kama ameona kumchafua Rais wetu ndio ahueni ya matatizo yake ya kisiasa ni sawa tu
Ramaphosa hajaitisha kikao cha SADC,ameitisha kikao cha nchi majirani zake.Uyo Raisi wa Afrika Kusini anataka kujiona yeye yuko juu na Kuamua anavyotaka yeye ! Yeye hana cheo chochote SADC, iweje aitishe Kikao SADC ? Kwani Unapomshauri mtu ni lazima Ushauri Wako hauchukue . . Huyu jamaa anataka Kujifanya yeye Trump wa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatangazwa kama "laughing stock"Wanajua wenyewe
Kama IMF na World bank wanaangalia usoni nchi za ku.boost uchumi,kwa nini tupoteze muda kukaa na watu mifuko yao imetuna?
Huko ni kupotezeana muda tu,tuone huo mkutano kama utazaa lolote la maana
Jamaa anamuonea gere Rais wetu katangazwa na dunia nzima,wakati yeye ana nguvu za atomic,raia wake wameingia mitaani wameshindwa lock down
Kwa hiyo unakanusha ukweli, hata video clips umewekewa si usikilize? Au Una bundle la kuungaungaI think it might just be a false rumor, and even if it were true, President Ramaphosa would not have used such derogatory terms
Ukiamua kuwa mwanasiasa uwe na ngozi ngumu, Ila natilia mashaka ukweli unaoamishwa katka nyuzi hii, ingawa kwenye siasa kila kitu kinawezekana
On phone conference linaweza kuwa tatizo kwa mtu wa lugha ya kusuasuaLugha haijawahi kuwa tatizo kwenye mikutano ya kimataifa
Ulishawahi kumsikia Putin anaongea lugha tofauti na lugha yake?
Au Xi Jingpi, Angela Merkel, Kim Jong un nk
kwani na SADC mmejibinafsishia kama mlivyofanya bunge?Uyo Raisi wa Afrika Kusini anataka kujiona yeye yuko juu na Kuamua anavyotaka yeye ! Yeye hana cheo chochote SADC, iweje aitishe Kikao SADC ? Kwani Unapomshauri mtu ni lazima Ushauri Wako hauchukue . . Huyu jamaa anataka Kujifanya yeye Trump wa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka nini ili uamini?video ipo hapaI think it might just be a false rumor, and even if it were true, President Ramaphosa would not have used such derogatory terms
Ukiamua kuwa mwanasiasa uwe na ngozi ngumu, Ila natilia mashaka ukweli unaoamishwa katka nyuzi hii, ingawa kwenye siasa kila kitu kinawezekana
Sawa kabisa mkuu, bando halitoshi, nitupie mkuu, nitashukuruje!! πKwa hiyo unakanusha ukweli, hata video clips umewekewa si usikilize? Au Una bundle la kuungaunga
Labda kamati ya harusi ndiyo anaweza , na tena huenda akawaambia watu kila mtu aje na chakula chake,