π€£π€£ unapoenda kwenye taasisi za juu za serikali zile unakutana mishangazi classic sana unasema ngoja nitafute pesa mishagazi imekula gold sio mchezo kwenye hizi za serikali kuna mishangazi hatariWao wakifanya ushoga wewe ndiyo kwanza unaona wanakuachia mishangazi.
Mishangazi itakuua wewee ππ
Mishangazi inataka kifua.π€£π€£ unapoenda kwenye taasisi za juu za serikali zile unakutana mishangazi classic sana unasema ngoja nitafute pesa mishagazi imekula gold sio mchezo kwenye hizi za serikali kuna mishangazi hatari
Kwahiyo bado kwako shida ya ushoga haujaiona hadi muda huu?Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.
Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.
Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.
Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.
Ungejisikiaje?
Kumbuka ushoga ni tabia na weusi ni rangi two different aspects kulinganisha.Hapana, mimi si shoga, na wala sihitaji kuwa shoga kutambua haki za binadamu.
Wewe kufikiri mtu kutetea haki za binadamu za mashoga ni lazima awe shoga, ni ukosefu wa uelewa tu.
Yani umeshindwa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).
Umeshindwa kujua kuwa, hata mzungu anayethamini haki za binadamu, asiyependa ubaguzi, anaweza kuchukia ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi bila ya yeye kuwa mweusi.
Katika mawazo yako umeona ili mtu apinge ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, ni lazima awe mweusi.
Hii ni hoja potofu. Inaonesha udogo wa fikra.
Inaonesha huijui dunia tu.
Uko na vijana wa kiume?Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.
Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.
Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.
Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.
Ungejisikiaje?
Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.Kwahiyo bado kwako shida ya ushoga haujaiona hadi muda huu?
Kwamba kesho utakuja kusema hata majambazi na wauwaji wanayohaki ya kuishi katika jamii na kuendeleza shughuli zao bila kubugudhiwa?
Have you lost your marbles mzee?π€ Yaani haujui the logic and reason behind ushoga and why some people are against it?
Mama Dr Gwajima naona hao anawaogopa kwasababu sirikali yake inasapoti MANGAPUlila.Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.
Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.
Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.
Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti
Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.
Kisa cha Sodoma na Gomora
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.
Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake
KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.
NIMEFINISH
Utakuwa shoga tu kama unataka au ni shoga. Acha kusingizia ushoga unaambukiza.Uzi umesha vamiwa na mashoga tayari,yanautetea ushoga kwa nguvu zote.
Wizara ya Gwajima inatakiwa kufutwa kwa sasa, ni upotevu wa pesa tu serikali kufuatilia ufanyaji ngono wa watu wazima wenye akili zao.Mama Dr Gwajima naona hao anawaogopa kwasababu sirikali yake inasapoti MANGAPUlila.
Yeye anaangaika tu na wauza NYAPU ila MAGASHO anaona akiwagusa waneweza kumpigisha Shoti.
Siku ukimuonw baba ako mzazi anaomba mzigo kwako au anataka umpelekee moto , utaweza? Mfano.Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.
Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
ULIZA VIZURISijakuelewa boss ni mashoga nini hao [emoji3]
Huyu anajikuta na dp ya albert einsteinMkuu huyo ni ***** tayari kitambo tu,ndio maana anatumia nguvu kubwa sana hapa kuutetea ushoga.
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.
Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.
Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.
Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti
Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.
Kisa cha Sodoma na Gomora
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.
Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake
KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.
NIMEFINISH
Sijapanic, nimekuonyesha tu hoja yake inavyokosa mashiko.π
HAPO KUNA ISSUE MBILIMimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.
Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
Mujahideen huwa unafurahisha sana, sasa kama hata nikiwa shoga kweli hapa JamiiForum ambapo watu ni anyonomus utafanyaje zaidi ya kuishia kupayuka na kutokwa povu tu,Mkuu huyo ni ***** tayari kitambo tu,ndio maana anatumia nguvu kubwa sana hapa kuutetea ushoga.
Nimeamua kuiweka hoja yangu kwa namna hio kutaka kujua reality ikikutokea kwa mzazi wako , utakubaliana nae au ?Sijapanic, nimekuonyesha tu hoja yake inavyokosa mashiko.