Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

30,000,000 x 2230 =66,900,00,0000.
[emoji867]
Walipwe tu ndogo sana kama tunakusanya 1.4 tirion kwa mwezi hizo kitu gani kuondoa kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona tutakoma ndo maana naogopa hata kupeleka wanangu huko....maana wanaweza hata wakashikiliwa mpaka tulipe..na serikali ilivyokuwa na kiburi..hata sitaki
 
Naona mambo yake kuwa mengi mda umekuwa kama hautoshi hivi....
 
Hii ATCL pamoja na kukwepa kuwa haina ndege ikisingizia ni mali za Wakala wa Ndege za Serikali, sheria bado inaibana ATCL na mdhamini wake ambaye ni serikali.

Hii ATCL ndege 'zake' dreamliner na airbus kweli zitaweza safiri kwenda nje ya Afrika au zaidi ya China ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…