Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

ATCL imekuwa "kampuni ya simu"? Kuanzia lini?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Faiza na wenzio... mnajidhalilisha sana kwa kusimamamia hapo kwrnye ATCL NA TTCL.. mnaacha the whole point mnakaa hapo pasipowasaidi...!!! HAYA, JAMAA KAREKEBISHA TAYARI, imebadili chochote kwenye kudaiwa..?? Kuna wakati muwe mnaaachana na hizi typo na makosa madogo madogo na mjikite kwenye hoja kuu
 
.......................mabeberu hao wanatuonea wivu kwa maendeleo yetu! Kwa sasa Tanzania ni katika nchi zenye uchumi bora duniani.

Wapuuzeni hao wanaotudai!
 
Ni aibu yaani kukaa na ndege miezi 7 tunalipishwa US$ 30 million? Mungu anawaona waliotuingiza kwenye kathia hii
 
Sure, na watu wanafanya hivi kwa lengo la kuharibu mada tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi na wanasheria wetu nguri wengine walikuwa wapi wakati shirika letu tukufu linaangukia pua? .
 

baki kwenye mada please, achana na mambo finyu finyu ya typos, for heavens sake
 
Hivi mnaoshabikia taarifa kama hizi nani kawaroga, huwa mnashangaz sana, nchi ikirudi nyuma ndio furaha yenu, mnasahau tatizo lolote litawahusu pia.

..kwanini humlaumu aliyefanya UPUMBAVU na kusababisha tudaiwe?

..hudhani kwamba yeye ndiye anahusika kuirudisha nchi nyuma na kumtaabisha kila mmoja wetu?
 
Tusipoangalia tutajikuta mapato yote tunayokusanya kuliko serekali zote yanaishia kuwalipa fidia mabeberu.
 

Biashara ya ndege / anga siyo kununua matenga ya nyanya Iringa (ilula) na kuuza Kariakoo au Tandare Sokoni.
Requires serious visibility studies and robust & workable business plans. it is not just a matter of funding and showering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…