Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Inasikitisha sana.Miafrika tuna laana ya akili ndo maana tukiuana sisi kwa sisi tunaona sawa tu ila wakiuana wengine uko duniani inatuuma kisa walituletea utumwa wa dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nasikiaga wakisema alhamdulilah bin shetani lajim.
Ndio nimejua maana yake.
Hii dini ni ya shetani
Na Allah ndio shetani mkuu.
Shetani ni muuaji na mpenda damu.
Si mpagani wala mchawi anaweza kufanya haya.
 
Dah!... inasikitisha sana, hawa kosa lao ni kutokuwa waarabu tu.
 
Mleta uzi na genge lako , kabla ya kulaumu hayo je ushawahi kuleta uzi wa kulani na kulaumu South Sudan walivyokuwa wanauwawa wenyewe kwa wenyewe baada ya uhuru tena mauaji ya kutisha .

Au kisa wanaouwana sio Waislamu ? kwa hakika chuki na unafiki havijawahi kuwaacha watu salama .

Angola unajua Savimbi na genge lake wakati wanaofanya uaisi walifanya uuaji wa kiasi gani mbona na nyie hamkuchukua hatua yeyote au kisa sio Waislamu ? walifanya Waislamu ndio dini yao wakifanya wengine ni kawaida mnahukumu nyie ?

Ninaweza kutaja mauaji zaidi ya 100 yalifanyika sehemu mbalimbali katika nchi za kikiristo ,ila mlivyo na chuki na Mipopoma kama baadhi hapo juu mnatumia huu uzi kuleta kashfa katika Dini kama hivyo vitendo vimeruhusiwa basi nitaleta uzi kuonyesha hayo naomba vilevile mseme ni matendo ya Yesu..

Waione Kinyungu ngosha wa mwanza Maghayo and others.
 
Ukitaka usome tabia za majitu yasio kuwa na chuki na uadilifu kama yanavyofanya katika uzi huu basi pitia huo uzi juu umeeleza vyema watu hao.
 
Wanaamini wakiuwa wanaenda peponi kukutana na mabikira 70 hii dini ni tatizo
Dini si tatizo, ila wao wana matatizo. Dini haijasema hivyo, dini imekataza kuua mtu asiye na hatia, achilia mbali kuua hata kumpiga mtu ambae hajakupiga ni kosa, haijalishi ni dini gani.
 
Mleta uzi na genge lako , kabla ya kulaumu hayo je ushawahi kuleta uzi wa kulani na kulaumu South Sudan walivyokuwa wanauwawa wenyewe kwa wenyewe baada ya uhuru tena mauaji ya kutisha .
Nasubiri wewe ulete, mbona tunapangiana kitu Cha kupost?
 
Wtanzania wengi bado wanapelekeshwa na propaganda za media.
 
Kabisa
 
Dini si tatizo, ila wao wana matatizo. Dini haijasema hivyo, dini imekataza kuua mtu asiye na hatia, achilia mbali kuua hata kumpiga mtu ambae hajakupiga ni kosa, haijalishi ni dini gani.

ahaaa kwahiyo dini imehalalisha mtu kupiga ama kuua mtu aliye na hatia,aliyekupiga.

tutajuaje kama hawa jamaa hawakuwakosea janjaweed??labda waliwapiga ngwara??
 
Ye
ahaaa kwahiyo dini imehalalisha mtu kupiga ama kuua mtu aliye na hatia,aliyekupiga.

tutajuaje kama hawa jamaa hawakuwakosea janjaweed??labda waliwapiga ngwara??
Yes, ukija na dhumuni la kuniuwa, mie ni ruhusa kabisa nikuue, yaani umekamata mbisu unakuja wangu wangu, ushachoma bega unalisaka tumbo nikuchekee tu, jambazi limeingia kwangu linataka kutufyeka nimchekee tu hapana ni ruhusa kumua.
 
sasa nani wa kuhalalisha kwamba makaveli ni halali kuuawa au kuua??

au ni makaveli mwenyewe??
 
sasa nani wa kuhalalisha kwamba makaveli ni halali kuuawa au kuua??

au ni makaveli mwenyewe??
Nani ahalalishe kitabu kishahalalisha...

Sasa mie nishakushikia kisu nataka nikuue, unasubiri mtu tena aje kuhalalisha, utakufa 😂😂 hapo ni muda wa mpambano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…