Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 462
Weusi tuna waabudu weupe.ajabu yake, hao wabantu wanaouawa ni waislam wenzao, lakini watu wa mbagala wapo tayari kutetea mwarabu badala ya muislam mwenzao mweusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weusi tuna waabudu weupe.ajabu yake, hao wabantu wanaouawa ni waislam wenzao, lakini watu wa mbagala wapo tayari kutetea mwarabu badala ya muislam mwenzao mweusi.
Ndio maana nasikiaga wakisema alhamdulilah bin shetani lajim.Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!
Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.
View attachment 2807203View attachment 2807204
Wew kweli kajamaa kadogo, hivi unaelewa kweli unachoomba ?natamani siku moja dunia ipite kwenye mikono ya kiumbe ambacho yeye ndiye last say na ukienda kinyume umekufa hata uwe wapi atakufata tu
Dah!... inasikitisha sana, hawa kosa lao ni kutokuwa waarabu tu.Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!
Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.
View attachment 2807203View attachment 2807204
Dini si tatizo, ila wao wana matatizo. Dini haijasema hivyo, dini imekataza kuua mtu asiye na hatia, achilia mbali kuua hata kumpiga mtu ambae hajakupiga ni kosa, haijalishi ni dini gani.Wanaamini wakiuwa wanaenda peponi kukutana na mabikira 70 hii dini ni tatizo
janjaweed hawapo sudani kusini wewe simbilisi, wapo sudan ya kaskazini. hawapo kwa salva kiiri, wapo kwa al bashir kule.Hivi wewe unapajua SUDAN KUSINI? kuna muislam pale?
Nasubiri wewe ulete, mbona tunapangiana kitu Cha kupost?Mleta uzi na genge lako , kabla ya kulaumu hayo je ushawahi kuleta uzi wa kulani na kulaumu South Sudan walivyokuwa wanauwawa wenyewe kwa wenyewe baada ya uhuru tena mauaji ya kutisha .
Wtanzania wengi bado wanapelekeshwa na propaganda za media.Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!
Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.
View attachment 2807203View attachment 2807204
KabisaHawa wapelestina wa BUZA hawajitambui, Mwarabu ndiye anawajengea MISIKITI Tanzania nzima, hutowasikia wakisema chochote. Wanaletewa nyama ya ngamia, na kupewa tende utawaambia nini. Hii vita sa Sudan hawaioni kabisa, na wao wanaona waarabu ndio malaika waliotumwa na Allah kuja kuwaokoa.
Dini si tatizo, ila wao wana matatizo. Dini haijasema hivyo, dini imekataza kuua mtu asiye na hatia, achilia mbali kuua hata kumpiga mtu ambae hajakupiga ni kosa, haijalishi ni dini gani.
Yes, ukija na dhumuni la kuniuwa, mie ni ruhusa kabisa nikuue, yaani umekamata mbisu unakuja wangu wangu, ushachoma bega unalisaka tumbo nikuchekee tu, jambazi limeingia kwangu linataka kutufyeka nimchekee tu hapana ni ruhusa kumua.ahaaa kwahiyo dini imehalalisha mtu kupiga ama kuua mtu aliye na hatia,aliyekupiga.
tutajuaje kama hawa jamaa hawakuwakosea janjaweed??labda waliwapiga ngwara??
Ye
Yes, ukija na dhumuni la kuniuwa, mie ni ruhusa kabisa nikuue, yaani umekamata mbisu unakuja wangu wangu, ushachoma bega unalisaka tumbo nikuchekee tu, jambazi limeingia kwangu linataka kutufyeka nimchekee tu hapana ni ruhusa kumua.
Nani ahalalishe kitabu kishahalalisha...sasa nani wa kuhalalisha kwamba makaveli ni halali kuuawa au kuua??
au ni makaveli mwenyewe??