Tumemsikia,moja ninalokubaliana nae ni kuwa ameongea tuliyotarajia kutoka kwake, hakumpenda magufuli,hakuwa na uhakika wa kuendelea kunyonya kama walivyozowea chini ya jpm, jpm aliwapiga pini wakati flani,wakalazimika kujivua nguo for the sake of their interest, juzi Kinana kaongea,ungemsikiliza kinana usingeshangaa kusikia hiki anachoongea makamba leo, wote walikuwa ni victims wa ile awamu, tunapopishana naye ni pale alipokubali kuisimamia ile station ya uchafuzi tu basi, na akahakikisha kuwa haki haitopatikana kwa vyovyote, nisiongelee hizi scandal nyingine kama za umeme nk, hizo zilikuwa ni katika kunyonya ziwa walilolizowea, so hata siku mama akiondoka story zitakuwa ni hizi hizi,