ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 546
- 564
Tanzania na hasa Dar es Salaam walishindwa hata kupambana na KUNGURU mijini. Kunguru wamejaa kila mahali. Walipata mkopo wa kupambana nao sasa ukiwauliza mafanikio watakwambia uongo mtupu. Ni waongooooooooo sana. Acheni uongo kuzinusuru nchi zetu.
Vituo vya Daladala vinanuka harufu ya samaki kwa sababu biashara ya samaki inafanyika kwenye vituo vya daladala. Badala ya biashara hii kufanyikia kwenye maduka maalum kwenye masoko wako wanaweweseka hawajui la kufanya wanajipanga kuiba kura na hata uchaguzi wote kama 2020. Sasa imezuka biashara holela ya nyama ya mbuzi kwenye vituo vya daladala na katikati ya maduka ya nguo na wao wananunua kama hawajui wajibu wao. Uchafu kila mahali. Ni waongooooooo.
Boda boda na Bajaji hawajui wazisimamie vipi wapo wamechanganyikiwa. Ni waongooooooooooooooooo.
Waongo, waongo, waongooooooooooooooooooooo.
Wanayo nafasi ya kujirekebisha.