Dah, hivi chuki na uzushi huu kwa binadamu mwenzenu huyu ni kwa ajili ya miaka hii hii sitini tunayoishi na kufa au wenzetu mna zaid?!!!Kiburi, kijisikia ana akili kuliko wengine, kuwa na baba anaeongea pasipo breki, kujulikana kuwa protegee wa Kikwete, kujisikia kuwa ndio raisi ajae, kusikia kwamba aliweka mashari apewe wizara gani na wafukuzwe wateule wa Magufuli Tanesco na wizarani, matatizo ya umeme, majibu ya uongo anapohojiwa au kuulizwa maswali, visingizio vya kumlaumu Magufuli katika kukatika umeme, kuwa na dada tapelitapeli, suala la kreni nk.
Umeua!! Hiyo ya kujisikia kuwa ndiyo Rais ajaye nimeipenda. Kwa Tanzania ukipania sana U-Rais kamwe huwezi kupata.Kiburi, kijisikia ana akili kuliko wengine, kuwa na baba anaeongea pasipo breki, kujulikana kuwa protegee wa Kikwete, kujisikia kuwa ndio raisi ajae, kusikia kwamba aliweka mashari apewe wizara gani na wafukuzwe wateule wa Magufuli Tanesco na wizarani, matatizo ya umeme, majibu ya uongo anapohojiwa au kuulizwa maswali, visingizio vya kumlaumu Magufuli katika kukatika umeme, kuwa na dada tapelitapeli, suala la kreni nk.
Wasira naye alikuwepo kwenye kinyanganyiro? Alipata hata kura tatu?Akiwemo Wasira.
Kalemani ifanyaje?Hiyo wizara haihitaji mtaka urais.
Kama anaandaliwa,angepewa zile "nyoronyoro"
Ulikuwa huna haja ya kuchangia mada hii kama hukufuatilia Mkutano Mkuu wa CCM!!Wasira naye alikuwepo kwenye kinyanganyiro? Alipata hata kura tatu?
Alikua anagombea ili iweje maana sioni Kama analo jipya lakutuambia.
Chadema in blood my brother.Ulikuwa huna Haya ya kuchangia mada hii kama hukufuatilia Mkutano Mkuu wa CCM!!
Kwa taarifa yako Wasira kapata zaidi ya kura 600 na yupo kwenye NEC ya CCM. Unajivunia damu ya CHADEMA kumbe damu yenyewe ina leukemiaChadema in blood my brother.
Hongera zake Babu yangu wasira. Nakumbuka Kuna kipindi tulikua nae upinzani. Enzi za NCCR Mageuzi, enzi za Mabere Marando (hili jina utafikiri Ni la utani kwa wanaojua kisukuma)Kwa taarifa yako Wasira kapata zaidi ya kura 400 na yupo kwenye NEC ya CCM. Unajivunia damu ya CHADEMA kumbe damu yenyewe Ina leukemia
Kuna tofauti sana kuwa na watu uliowahonga fedha na watu ambao hujawahonga fedha!Acha na na namba, sistystem ikutaka uwe rais unaenda tu.. lowasa alikuwa na watu kumzidi rais ilikuwaje???
Bashungwa na Makamba nani aliyezaliwa na kukulia CCM? kwanini Bashungwa apate 720 na sio Makamba?
Wizi,uchawi na na kifo cha aliendokaJanuari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa kwenye sanduku la kura.
Ni nini hasa kimemdondosha kisiasa kijana huyu machachari kutoka 5 bora za Urais 2015 hadi nafasi 11 na kushindwa hata kuingia 10 bora licha ya taarifa kudaiwa ndiye mgombea aliyetumia pesa nyingi kuliko wagombea wote wa NEC.
Babake alisema wao hawafi, miaka 60 ya kuishi wewe umeitoa wapi? Unataka kuwapunja?Dah, hivi chuki na uzushi huu kwa binadamu mwenzenu huyu ni kwa ajili ya miaka hii hii sitini tunayoishi na kufa au wenzetu mna zaid?!!!
Hapo ndio kwenye pesa ya kununua urais kirahisi, ameachwa azikusanye kwanza ndipo ahamishiwe mambo ya nje na kwinginekoHiyo wizara haihitaji mtaka urais.
Kama anaandaliwa,angepewa zile "nyoronyoro"
Ndiyo awekwe wa 11. Hata kama ni kupunguza tension.Kwa msiofahamu ni kwamba January Alipata kura nyingi zaidi ya hizo isipokuwa busara ilitumika kupunguza tension ya kisiasa na ndio maana kura nyingi akapewa mtu ambaye hafahamiki na Hana athari zozote kwa siasa za kitaifa.
Tatizo ukipenda, chongo utaita kengezaDah, hivi chuki na uzushi huu kwa binadamu mwenzenu huyu ni kwa ajili ya miaka hii hii sitini tunayoishi na kufa au wenzetu mna zaid?!!!
Ndio ukweli huo.Ina maana kwamba dady akifukiwa tu hatapata hata kura moka.
Ndg katika siasa bila pesa wewe si kitu..hiv unafikiri january makamba hajatoa pesa...Kuna tofauti sana kuwa na watu uliowahonga fedha na watu ambao hujawahonga fedha!
Mara nyingi kuna watu huwa wanaamini wana watu kwa kuwapa rushwa ila ni bora zaidi ukawa na watu waliokuchagua wenyewe nafsini mwao!
Kwa sehemu kubwa Lowassa alitumia fedha kuwashawishi watu ndo maana aliangukia pua!
Nadhani umenielewa!