Dah, hivi chuki na uzushi huu kwa binadamu mwenzenu huyu ni kwa ajili ya miaka hii hii sitini tunayoishi na kufa au wenzetu mna zaid?!!!Kiburi, kijisikia ana akili kuliko wengine, kuwa na baba anaeongea pasipo breki, kujulikana kuwa protegee wa Kikwete, kujisikia kuwa ndio raisi ajae, kusikia kwamba aliweka mashari apewe wizara gani na wafukuzwe wateule wa Magufuli Tanesco na wizarani, matatizo ya umeme, majibu ya uongo anapohojiwa au kuulizwa maswali, visingizio vya kumlaumu Magufuli katika kukatika umeme, kuwa na dada tapelitapeli, suala la kreni nk.