Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu


Reading is one thing and understanding what you read is another thing.

Hao pimbi wanasoma, lakini hawaelewi walichosoma!
 
Ime wapain sana. Mtajiju
 
Makamba, Kinana na Nape ni watu samart sana. Sio washamba.
 
Mtu wa hovyo namna hii, Bado anaachwa kuitumikia nafasi aliyopewa?
Labda swali langu kwa Mhe. SAMIA SULUHU
Kalemani alikuwa na tatizo gani mpaka ukamtengua na kumpa majukumu huyu Bwana Kipara? @samiasuluhu
 
Unamaanisha nn unaposema anahojiwa Sana? Yaani wewe unasambaza chuki zako ndiyo unasema anahojiwa Sana?
😁😁 hivi umefuatlia kauli yake ya kutaka wamuue ni kwa nini? Sina chuki na mtu ila ninahitaji maslahi ya nchi yalindwe. Tusitafutiane huruma kwenye mambo mhimu ya nchi.
 
Hii kauli ni lazima ikemewe ni hatari kutolewa na kiongozi mkubwa kama yeye
 
Makamba ana kiburi Cha kipumbavu Sana[emoji3525]
 
Kweli Waziri jasiri sana anaiita Kamati ya Bunge ya Nishati iliyosema hairidhishwi na sababu za kuchelewa kwa mradi kuwa ni Wapuuzi?
Nimeshangaa sana hili. Kamati ya Nishati na Kamati ya Uwekezaji za Bunge zote zimehoji maswala hayo bungeni lakini wanaishia kushambuliwa kwa lugha hiyo
 
Huyo jamaa ni jambazi tu, hana lolote la ukweli ni kiongo kiongo tu kile kijamaa, kikwapuaji
 
Kweli Waziri jasiri sana anaiita Kamati ya Bunge ya Nishati iliyosema hairidhishwi na sababu za kuchelewa kwa mradi kuwa ni Wapuuzi?
Hata mimi nimeshangaa sana Bunge kudharauliwa na Waziri
 
mbona hii video imefutwa ilikuwa na tatizo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…