kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Kuuwana si ndio zenu bwa sheet?Duh
Kuuwana tena?
Bavicha watapata cha kuongea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuwana si ndio zenu bwa sheet?Duh
Kuuwana tena?
Bavicha watapata cha kuongea!
Hayo ni mambo ya Ufipa st bwashee!Kuuwana si ndio zenu bwa sheet?
"Ukiona nguchiro anakufanyia mbwembwe,jua yupo karibu na shimo lake".
Makamba anasadikika kuwa smart ila tu akiwa amenyamaza,akiongea ni either pumba au upupu au vyote.
Huo utitiri wa vitabu wanavyosoma kila mwaka na mwenzie Zitto haviwasaidii zaidi ya kuwafanya arrogant.
Duh
Kuuwana tena?
Bavicha watapata cha kuongea
Kamuueni basi si ndio zenu🤣🤣Reading is one thing and understanding what you read is another thing.
Hao pimbi wanasoma, lakini hawaelewi walichosoma!
Kasema hivi kamuueni🤣🤣Yeye ndiye mpuuzi.unagawa mitungi ya gesi wakati huo gesi ipo juu.watatoa wapi pesa ya kuweka gesi nyingine itakapoisha hiyo waliyopewa? Badala ya kukamilisha mradi wa faida kubwa kwa umma(bwawa la nyerere) wewe unagawa mitungi si ni upuuzi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ime wapain sana. MtajijuMakamba ni mwizi siku zote,kazi ya kwanza aliyoingia nayo Hapo wizarani ni kitafuta bilioni moja ili kulipa ule mkopo aliouchukua kwa mgongo wa Bumbuli.
Na ikaishia kupukutika kwenye kuusaka uraisi 2015.
Alipo Makamba na 10% ipo.
Asijione kama mtu mjanja kuliko watanzania wote.
Time Will Tell!View attachment 2291847
Makamba ni mwizi siku zote,kazi ya kwanza aliyoingia nayo Hapo wizarani ni kitafuta bilioni moja ili kulipa ule mkopo aliouchukua kwa mgongo wa Bumbuli.
Na ikaishia kupukutika kwenye kuusaka uraisi 2015.
Alipo Makamba na 10% ipo.
Asijione kama mtu mjanja kuliko watanzania wote.
Time Will Tell!View attachment 2291847
Hao washamba wamwache makamba. Ule mradi ni mzuri kwa kuutamka lakini utekelezaji wake ni mgumu na ulianza kwa kukurupuka.Ningekuwa mimi ndio Makamba ningemtaka mmja wao aje awe Waziri na atoe commitment ya kukamilika kwa mwaka mmja,akishindwa tuu jela..
Mtu wa hovyo namna hii, Bado anaachwa kuitumikia nafasi aliyopewa?Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Chanzo: Wasafi Media
yes,Huyu dogo ni shogger nini
😁😁 hivi umefuatlia kauli yake ya kutaka wamuue ni kwa nini? Sina chuki na mtu ila ninahitaji maslahi ya nchi yalindwe. Tusitafutiane huruma kwenye mambo mhimu ya nchi.Unamaanisha nn unaposema anahojiwa Sana? Yaani wewe unasambaza chuki zako ndiyo unasema anahojiwa Sana?
Panic modeWaziri anasema "njooni mniue"!
A very good reflection of a typical Tanzanian.
Nimeshangaa sana hili. Kamati ya Nishati na Kamati ya Uwekezaji za Bunge zote zimehoji maswala hayo bungeni lakini wanaishia kushambuliwa kwa lugha hiyoKweli Waziri jasiri sana anaiita Kamati ya Bunge ya Nishati iliyosema hairidhishwi na sababu za kuchelewa kwa mradi kuwa ni Wapuuzi?
Huyo jamaa ni jambazi tu, hana lolote la ukweli ni kiongo kiongo tu kile kijamaa, kikwapuajiMakamba hauaminiki kwa sababu una majibu yasiyojitosheleza na yanayochelewa kuja kwa wakati, na mara nyingine hauna consistence kwenye majibu yako.
Leo unasema hivi, ukipingwa unabadilika kesho unasema tofauti about same thing, ni kama unaangalia uchochoro wa kujifichia kwenye majibu yako, ndio maana huaminiki.
Mfano.
1. Kuhusu ile crane ya tani 26 uliyoagiza toka nje, ukaambiwa mbona hata hapa Tanzania zipo crane zenye uzito huo? ukasema inatakiwa isiyohamishika, ok fine, mpaka leo hiyo isiyohamishika iko wapi?
2. Au kuhusu tatizo la umeme lililowahi kuwepo, ukatutangazia mgao wako nchi nzima kwa kisingizio awamu iliyopita mitambo ilikuwa haifanyiwi service, then after ukadai mgao utasahaulika, lakini wapi, mgao bado upo mpaka juzi tumetangaziwa mwingine.
Baadae ulivyoona mambo sio ukabadilika, mkatangaza sababu ya mgao wa umeme ni ukame, ghafla akatokea mtendaji bwawa la Nyumba ya Mungu akasema maji yaliyopo kule yanatosha kuwasha umeme kwa muda mrefu ujao, Makamba kimya...
Halafu hii tabia yako ya kukimbilia kuwaona wanaokuhoji ni maadui, ndio itakumaliza kabisa, usijione special usiyehojika, you are not, hicho cheo chako ni cha umma, wewe sio CEO wa private company.
Mwanzo ukihojiwa ulisema tatizo ni uwaziri wako, kama vile wewe ndie waziri wa Nishati pekee uliyewahi kutokea nchi hii.
Leo unawaambia wanaokuhoji wakuue, hii maana yake unakimbia majukumu yako, unajiona unaonewa unapoulizwa kuhusu yale yanayoihusu wizara yako, sasa kama hutaki kuulizwa wewe unataka aulizwe nani?
Anyway, tatizo ni la yule aliyekuweka hapo, amekudekeza matokeo yake unajiona kama "mtoto wa mama usiegusika", sasa kwa huu utoto wako, mtachafuka wote.
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Chanzo: Wasafi Media