Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Yaani hapo kuna wahusika watatu au wanne. Wa kwanza ni Mzee Makamba alipaswa aitishe press conference atubu, wa pili ni January alipaswa aachie ngazi kwa kauli mbaya ya Baba yake, na wa tatu ni Rais Samia alipaswa akemee kwa vitendo kwa kumfukuza kazi ya uwaziri January liwe fundisho kwa viongozi na familia zao na wa mwisho alikuwa Mzee Kikwete alipaswa akatae kwa kukemea kauli ambayo anajua kabisa hata yeye juzi tu kafiwa na Kaka yake sasa sijui huyo kaka yake alikufa kwa sababu hakuwa mtu mzuri etcYaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM ? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi
Mkuu katika nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala wa sheria watu hawahukumiwi kwa makosa ya baba zao.Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM ? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi
Mungu anasema " Nawapatiliza wana maovu ya baba zao. Hata kizazi cha nne...."Mzee Makamba ni mtu tofauti na January Makamba.
Kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe. Siyo sawa hata kidogo kumtwisha mtoto mzigo wa baba
Pili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa.
Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa.
Tusielekeze maoni ya Mzee Makamba kwenye Nia ovu tu.
Hata hivyo, tunawafundisha watoto na watu wetu wasiwe na tabia mbaya (utomvu wa nidhamu, ujamazi, wizi, ukibaka, uuaji na uovu mwingine) ili wawe na maisha marefu.
Tukichambua hayo maneno kwa muktadha huo, lawama zinazotolewa zinakosa uzito.
Mpumbavu mmoja weweMzee Makamba ni mtu tofauti na January Makamba. Kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe. Siyo sawa hata kidogo kumtwisha mtoto mzigo wa baba
Pili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa. Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa. Tusielekeze maoni ya Mzee Makamba kwenye Nia ovu tu.
Hata hivyo, tunawafundisha watoto na watu wetu wasiwe na tabia mbaya (utovu wa nidhamu, ujambazi, wizi, ukibaka, uuaji na uovu mwingine) ili wawe na maisha marefu.
Tukichambua hayo maneno kwa muktadha huo, lawama zinazotolewa zinakosa uzito.
Yeye na baba yake wote wanamakosa. Wanachuki zilizo wazi kwa uongozi uliopita.Mkuu katika nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala wa sheria watu hawahukumiwi kwa makosa ya baba zao.
Watu wanahukumiwa kwa makosa yao.
Mhukumu January Makamba kwa makosa ya January Makamba, si kwa makosa ya baba yake.
Like father like sonMzee Makamba ni mtu tofauti na January Makamba. Kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe. Siyo sawa hata kidogo kumtwisha mtoto mzigo wa baba
Pili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa. Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa. Tusielekeze maoni ya Mzee Makamba kwenye Nia ovu tu.
Hata hivyo, tunawafundisha watoto na watu wetu wasiwe na tabia mbaya (utovu wa nidhamu, ujambazi, wizi, ukibaka, uuaji na uovu mwingine) ili wawe na maisha marefu.
Tukichambua hayo maneno kwa muktadha huo, lawama zinazotolewa zinakosa uzito.
duh yaani baba yake akosee ajiuzulu mtoto?Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Like sone like fatherKosa la baba haliwezi kumwadhibu mwana.
Dah...umeandika point za maana....ila hapo kwenye kuiga ndiyo tunapotiana ujinga....hivi kwanini tuige? Tutaigaje kwa watu tusiofanana nao kiuchumi , kimazingira, nk?...Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Binadamu unatakiwa uige mema na kutoiga mabayaL
Dah...umeandika point za maana....ila hapo kwenye kuiga ndiyo tunapotiana ujinga....hivi kwanini tuige? Tutaigaje kwa watu tusiofanana nao kiuchumi , kimazingira, nk?...
Huu ujinga ndiyo unatufanya tusifikirie vizuri.....tunakuwa tunawaza kuiga tu....huu ni utumwa wa kiakili.....
Cha ajabu uigaji wenyewe ni wa kisiasa tu.....tunaiga bila kujua michakato waliopitia hadi kufika hapo..... Mara zote waigaji hufeli 😎
Ukoo mzima umechafukaduh yaani baba yake akosee ajiuzulu mtoto?