Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwaPili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa. Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa.
Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!