January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

Hujui alikuwa akimlenga nani? Eti watoto wachanga.

Are you serious au unajitoa ufahamu?
Mimi sijui alimlenga nani.Lugha ina upana wake.Na ndiyo maana nimekataa kumuwekea maneno yangu kwa tafsiri yangu.Nitakuwa mtu wa chokochoko kama nitalazimisha tafsiri yangu ndiyo iwe nitakavyo hadi aliyesema anihakikishie kwamba sijakosea kumnukuu.
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Toa mfano unaoonesha mtoto amabaye ni kiongozi kujiuzulu kwa kosa au issue yeyote inayomhusu babake huko ughaibuni unakosema siyo kubwabwaja tu
 
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa

Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!
Kufa kifo cha asili ni jambo lisilopingika.
Hata hivyo, tunafundishwa tangu utotoni kuchukua tahadhari kwa kufuata maadili na tabia njema ili tuishi vizuri na maisha marefu kwa ujumla.
Nani asiyejua kuwa tabia mbaya na uovu hufupisha maisha ya watu kwa ujumla wake?
Tusijadili hoja tukiwa tumeshatengeneza nia ovu dhidi ya mtoa hoja. Tujadili kwa uhuru ili tufikie mwisho mwema.
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Hovyo ya ccm inaumiza taifa letu.
 
Sheria za nchi zinakinzana na hilo kwa kuwa walioambiwa wapo katika Agano la Kale.Katika Agano Jipya hakuna hayo. Bwana wa Sabato alikuja kuikamilisha vizuri injili.
Mkuu mtume Issa Bin Mariam kwenye Mathew 5: 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza.

Maana yake amekuja kupigilia msumari not simple as you think brow!, Mfano anaposema usizini, na amtazaye mwanamke kwa kumtamani tayari amezini!.
(Upo hapo comrade?)
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Mimi naona Januari akipaa sana kwenye awamu hii ya serikali. Juzi mama kaomba ridhaa ya mkutano mkuu CCM kufanya mabadiliko makubwa katika serikali yake. Mpaka kuomba hiyo ridhaa inaonyesha mabadiliko yaweza kuwa makubwa hata kumkumba Waziri mkuu. We huoni Makamba akipaa sana?
 
Tuache kijifanya kuwa tunaweza tamaduni za wenzetu eti kujiuzuru kwa makosa
Watu wanapata ubunge kwa kuhonga unategemea aache kazi?
Siku tukifika huko na wizi, hongo, rushwa basi vitakuwa historia

Na sidhani kama tutakuja kuwa Taifa la waadilifu NEVER
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Huyu mzèe wasijekuthubutu kumpa tena ahutubie maana naona anaropoka tu bila kutafakari
 
Waume wa covid 19 wanajiuzulu link kuunga mkono hii thread?
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Ina maana ukoo wa akina Makamba hakuna mtu mzuri ambaye amewahi kufa? mzee mjinga sn na mdini mkubwa
 
Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Waliompa nafasi ndiyo zaidi yake
 
Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Mi naona sawa tu! Huyo mzee ndiye anayetumiwa kuwapamba wagombea, na kuwaponda wanaoamini ni adui wa CCM. Miaka ya nyuma, alikuwa anatumika Chrisant Mzindakaya. Kastaafu, kazi kapewa huyu MSWAHILI wa Tanga!
 
Yeye na baba yake wote wanamakosa. Wanachuki zilizo wazi kwa uongozi uliopita.
January baada ya kuudaka uwaziri Cha kwanza kufanya ni kupambana na kivuli Cha Magufuli, kila alichokuwa kafanya Magufuli kwake vyote ni vibaya. Piga chini viongozi wote walioteuliwa na kipindi Cha uongozi wa Magufuli. Akaja na kejeli kuwa mitambo ilikuwa haifanyiwi service na porojo kibao kuhusu bwawa la Nyerere. Leo wote ni mashuhuda umeme tumerudi kwenye zama za majenereta.
Sawa.

Lakini kama unataka January ajiuzulu, taja makosa ya January.

Awali alitakiwa January kujiuzulu kwa makosa ya baba yake, which is rubbish.
 
Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Una assume ana akili za kuona aibu.

Ujue kuona aibu kunataka akili fulani hivi ambayo wengine hawana.
 
Rafu rafu tuu chama kubwa kijana alimwaga misosi kwa wajumbe mabasi matatu pale moro juzi halafu nyie huku nje mnakomaa sijui nani aombe radhi sijui nini khaa sisi wajumbe hatuyatambui hayo.
 
Mkuu mtume Issa Bin Mariam kwenye Mathew 5: 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza.

Maana yake amekuja kupigilia msumari not simple as you think brow!, Mfano anaposema usizini, na amtazaye mwanamke kwa kumtamani tayari amezini!.
(Upo hapo comrade?)
Umeeleza kitu ambacho haukielewi kimchanganuo.Siyo hivyo muheshimiwa.
 
Sawa muhishimiwa nipe chenye ukweli wote!.
Ni hivi;Ilionekana anavunja sabato kwa kadiri ya mambo aliyokuwa akifanya na wanafunzi wake.Alipoulizwa kuhusu kama anafanya ubatili au laa,ndipo akawatolea mifano aina kwa aina.Hakuishia hapo.Akawaeleza kwamba,afanyacho si kuitangua torati.Bali ni kuiweka katika mstari na kuisahihisha upotofu wake kwa kuzingatia tafsiri mbaya za wanadamu.
 
Back
Top Bottom