January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.

Aibu gani?. Mbona wajumbe walishangilia. All in all CCM haina jipya.
 
Umelikimbia swali kiaina kwa mwendo wa gulloppings za farasi wa kiingereza.😂😂😂😂
Sijakimbia swali kijana. Nakupa facts

Mtu hafi kwa ubaya wake. Utasemaje kwa wale watoto wanaofariki dakika 1 tu baada ya kuzaliwa? Wamefanya ovu gani? Makamba messed up na unajua hilo
 
Ile kauli alikosea ndio, lakini ndio siasa za CCM tulizozilea.
Na walioongea ni wazaliwa,wamekua na kuuishi uswahili na kiswahili.Walalamikaji wakumbuke hayo.Kiswahili au lugha yoyote ina miondoko,mitindo na uenendenaji wa hadhira yake.Kuna kipindi hutamkwa maneno ambapo msikilizaji huyaona ni tata au atataka atoe tafsiri zake tu.
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
makamba ni fedheha hata kwa wasambaa wenzake
 
Na walioongea ni wazaliwa,wamekua na kuuishi uswahili na kiswahili.Walalamikaji wakumbuke hayo.Kiswahili au lugha yoyote ina miondoko,mitindo na uenendenaji wa hadhira yake.Kuna kipindi hutamkwa maneno ambapo msikilizaji huyaona ni tata au atataka atoe tafsiri zake tu.

Kweli kabisa.
 
Sijakimbia swali kijana. Nakupa facts

Mtu hafi kwa ubaya wake. Utasemaje kwa wale watoto wanaofariki dakika 1 tu baada ya kuzaliwa? Wamefanya ovu gani? Makamba messed up na unajua hilo
Kwa nini mumchagulie msemaji tafsiri?Je,mmejiuliza aliwalenga watu wa rika gani?Ni watoto wachanga,wa rika la kati au wazee?Na pili,mmejiuliza kama aliongea kuhusu mtu mwenye nyama na damu au ni tabia tu za huyo mwenye nyama na damu?
 
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa

Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!

Hiyo ni tafsiri yako. Lazima uangalie makamba aliongea kwa muktadha gani? Yani context gani?.
 
Like farther like son, wote ni waropokaji... Inasikiisha sana...
 
Usimung’unye maneno

Hii kauli “Watu wazuri hawafi … ndio maana Jakaya na Kinana wapo” imejaa hila na mbovu mno. Kwanini kifo/uhai kiwe linked na watu wawili walio hai? Shida ipo hapo

Ni kweli imejaa ukakasi, ila mbona mzee alisema mama asipofika 2025 Mungu ataleta mwingine?. Mbona hiyo kauli haijadiliwi?. Ina maana mzee anatambua Kuna kifo. Ni kuteleza kwa ulimi tu.
 
Kwenye serikali hakuna kitu Kama hicho, kosa la baba ni la baba.
Bado wananchi wa mjini Bogota ufahamu kuhusu sheria na haki unawapiga chenga.Afanye mtu kosa lake peke yake na kwa maamuzi yake(kama kuna ukweli)halafu adhabu apewe mtu mwingine?Sheria ya wapi hiyo?😂😂😂😂
 
Mbona unatukana watu?. Unatofauti gani na Makamba?. Mbona Samiah katoa pole na kusema alicholenga mzee makamba. Fuatilia speech yake.
Huyo asikusumbue.Niachie mimi.Alikuwa ananichokoza makusudi.Leo amejitahidi kuleta hoja.Sasa,tunamsaidia mawazo(ndiyooo tunamsaidia.Ni masikini hadi wa mawazo)anaanzisha shombo.
 
Kwa nini mumchagulie msemaji tafsiri?Je,mmejiuliza aliwalenga watu wa rika gani?Ni watoto wachanga,wa rika la kati au wazee?Na pili,mmejiuliza kama aliongea kuhusu mtu mwenye nyama na damu au ni tabia tu za huyo mwenye nyama na damu?
Hujui alikuwa akimlenga nani? Eti watoto wachanga.

Are you serious au unajitoa ufahamu?
 
Sijakimbia swali kijana. Nakupa facts

Mtu hafi kwa ubaya wake. Utasemaje kwa wale watoto wanaofariki dakika 1 tu baada ya kuzaliwa? Wamefanya ovu gani? Makamba messed up na unajua hilo

Pia usisahau Kuna vifo vinatokana na ubaya. Wewe ni jambazi au kibaka umeenda kuiba ukadakwa ukachomwa Moto au umeau mtu ukahukumiwa kunyongwa, unazuni ukapata ngoma au umezini na kahaba ukapata pressure ukafa. Let's not take it emotional.
 
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.

Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Over his dead body.
 
Back
Top Bottom