hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
.why January and not aliemwalika jukwaani?
.