January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

Pili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa. Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa.
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa

Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!
 
Waongezee sauti wageuza na sikio la pili.Wanatafsiri jambo kwa kadiri pua zao zilipoishia.😂😂😂
 
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa

Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!
Hivi,kuna mtu ambaye hajawahi kufiwa na ndugu,jamaa au rafiki wa karibu dunia hii?Tusiwe na tafsiri nyepesinyepesi kwa maneno aliyoyatamka mtu.Tusipende kutafsiria wengine maneno!Hii ni kupenda kufurahishwa tuuuu kiiila siku.Haiwezekani!
 
We mpumbavu kaa kimya. Ina maana wanaokufa ni wabaya tu.
 
Tusiwe na tafsiri nyepesinyepesi kwa maneno aliyoyatamka mtu.Tusipende kutafsiria wengine maneno!Hii ni kupenda kufurahishwa tuuuu kiiila siku.Haiwezekani!
Usimung’unye maneno

Hii kauli “Watu wazuri hawafi … ndio maana Jakaya na Kinana wapo” imejaa hila na mbovu mno. Kwanini kifo/uhai kiwe linked na watu wawili walio hai? Shida ipo hapo
 
Usimung’unye maneno

Hii kauli “Watu wazuri hawafi … ndio maana Jakaya na Kinana wapo” imejaa hila na mbovu mno. Kwanini kifo/uhai kiwe linked na watu wawili walio hai? Shida ipo hapo
Bila kumung'unya neno:Mbona weye upo?Kwani weye mbaya sana au mzuri sana?Usichukulie reference kwa mtu mwingine.Anza na weye kwanza.
 
Hii kauli angeitoa katika taifa lililoendelea na lenye wasomi ingekuwaje?
 
Kwenye serikali hakuna kitu Kama hicho, kosa la baba ni la baba.
 
Mungu anasema " Nawapatiliza wana maovu ya baba zao. Hata kizazi cha nne...."

Hiyo ni fimbo ya Mungu kwa mtu aliyefanya mambo maovu. Kwa mfano mtu aliyemuua been saanane hiyo laana ya damu itamsumbua yeye na vizazi vyake vinne mpaka atokee wa kutubu na kujitakasa. Sio kauli za porojo Kama makamba.
 
Bila kumung'unya neno:Mbona weye upo?Kwani weye mbaya sana au mzuri sana?Usichukulie reference kwa mtu mwingine.Anza na weye kwanza.
Mimi or anyone for that matter naweza kuwa mbaya au mzuri mbele ya macho ya Mungu ila it has got nothing to do with my life or death

Yusufu Makamba, you and everyone else should know this. Hii sio Calculus.
 
Mpumbavu mmoja wewe
So waliokufa ni wenye matendo mabaya? Uzima usiwape kiburi na kujisahau kuona ninyi ni wema kuliko waliotangulia.
Mungu zipumzishe roho zilizotangulia ktk ufalme wa pendo lako.

Ile kauli alikosea ndio, lakini ndio siasa za CCM tulizozilea.
 
Mimi or anyone for that matter naweza kuwa mbaya au mzuri mbele ya macho ya Mungu ila it has got nothing to do with my life or death

Yusufu Makamba, you and everyone else should know this. Hii sio Calculus.
Umelikimbia swali kiaina kwa mwendo wa gulloppings za farasi wa kiingereza.😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…