Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Hii kauli angeitoa katika taifa lililoendelea na lenye wasomi ingekuwaje?
Sijakimbia swali kijana. Nakupa factsUmelikimbia swali kiaina kwa mwendo wa gulloppings za farasi wa kiingereza.😂😂😂😂
Na walioongea ni wazaliwa,wamekua na kuuishi uswahili na kiswahili.Walalamikaji wakumbuke hayo.Kiswahili au lugha yoyote ina miondoko,mitindo na uenendenaji wa hadhira yake.Kuna kipindi hutamkwa maneno ambapo msikilizaji huyaona ni tata au atataka atoe tafsiri zake tu.Ile kauli alikosea ndio, lakini ndio siasa za CCM tulizozilea.
makamba ni fedheha hata kwa wasambaa wenzakeYaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Umelikimbia swali kiaina kwa mwendo wa gulloppings za farasi wa kiingereza.😂😂😂😂
Na walioongea ni wazaliwa,wamekua na kuuishi uswahili na kiswahili.Walalamikaji wakumbuke hayo.Kiswahili au lugha yoyote ina miondoko,mitindo na uenendenaji wa hadhira yake.Kuna kipindi hutamkwa maneno ambapo msikilizaji huyaona ni tata au atataka atoe tafsiri zake tu.
Kwa nini mumchagulie msemaji tafsiri?Je,mmejiuliza aliwalenga watu wa rika gani?Ni watoto wachanga,wa rika la kati au wazee?Na pili,mmejiuliza kama aliongea kuhusu mtu mwenye nyama na damu au ni tabia tu za huyo mwenye nyama na damu?Sijakimbia swali kijana. Nakupa facts
Mtu hafi kwa ubaya wake. Utasemaje kwa wale watoto wanaofariki dakika 1 tu baada ya kuzaliwa? Wamefanya ovu gani? Makamba messed up na unajua hilo
Ukoo mzima umechafuka
Mtaani wanasema "wanakomplikeiti ishuuz"!Wawe wapole na wajifunze kupokea vitu kwa adabu na mikono miwili kama wanapokea sakramenti.😂😂😂😂Watu wamekuwa emotional Sana. Mbona kauli ya kawaida Sana. Nadhani watu wapo gulty Sasa ukiongea kidogo wanakuja juu.
Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa
Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!
We mpumbavu kaa kimya. Ina maana wanaokufa ni wabaya tu.
Usimung’unye maneno
Hii kauli “Watu wazuri hawafi … ndio maana Jakaya na Kinana wapo” imejaa hila na mbovu mno. Kwanini kifo/uhai kiwe linked na watu wawili walio hai? Shida ipo hapo
Bado wananchi wa mjini Bogota ufahamu kuhusu sheria na haki unawapiga chenga.Afanye mtu kosa lake peke yake na kwa maamuzi yake(kama kuna ukweli)halafu adhabu apewe mtu mwingine?Sheria ya wapi hiyo?😂😂😂😂Kwenye serikali hakuna kitu Kama hicho, kosa la baba ni la baba.
Huyo asikusumbue.Niachie mimi.Alikuwa ananichokoza makusudi.Leo amejitahidi kuleta hoja.Sasa,tunamsaidia mawazo(ndiyooo tunamsaidia.Ni masikini hadi wa mawazo)anaanzisha shombo.Mbona unatukana watu?. Unatofauti gani na Makamba?. Mbona Samiah katoa pole na kusema alicholenga mzee makamba. Fuatilia speech yake.
Yes, hapo umemaliza mkuu!.Mungu anasema " Nawapatiliza wana maovu ya baba zao. Hata kizazi cha nne...."
Hujui alikuwa akimlenga nani? Eti watoto wachanga.Kwa nini mumchagulie msemaji tafsiri?Je,mmejiuliza aliwalenga watu wa rika gani?Ni watoto wachanga,wa rika la kati au wazee?Na pili,mmejiuliza kama aliongea kuhusu mtu mwenye nyama na damu au ni tabia tu za huyo mwenye nyama na damu?
Sijakimbia swali kijana. Nakupa facts
Mtu hafi kwa ubaya wake. Utasemaje kwa wale watoto wanaofariki dakika 1 tu baada ya kuzaliwa? Wamefanya ovu gani? Makamba messed up na unajua hilo
Over his dead body.Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.