Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sheria za nchi zinakinzana na hilo kwa kuwa walioambiwa wapo katika Agano la Kale.Katika Agano Jipya hakuna hayo.Bwana wa Sabato alikuja kuikamilisha vizuri injili.Yes, hapo umemaliza mkuu!.
Mimi sijui alimlenga nani.Lugha ina upana wake.Na ndiyo maana nimekataa kumuwekea maneno yangu kwa tafsiri yangu.Nitakuwa mtu wa chokochoko kama nitalazimisha tafsiri yangu ndiyo iwe nitakavyo hadi aliyesema anihakikishie kwamba sijakosea kumnukuu.Hujui alikuwa akimlenga nani? Eti watoto wachanga.
Are you serious au unajitoa ufahamu?
Umetisha Sana. Bonge la pointPili, hakuna popote ambapo taifa limetukanwa. Kauli ya Mzee Makamba kuwa watu wazuri hawafi siyo tusi kwa yeyote ila yaweza kuwa na ukakasi kulingana na mzingira ilipotolewa. Tusielekeze maoni ya Mzee Makamba kwenye Nia ovu tu.
Toa mfano unaoonesha mtoto amabaye ni kiongozi kujiuzulu kwa kosa au issue yeyote inayomhusu babake huko ughaibuni unakosema siyo kubwabwaja tuYaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Kufa kifo cha asili ni jambo lisilopingika.Assumption hapa ni kwamba hujawahi kuonja maumivu ya kufiwa
Ila kama ulishazika ndugu wa damu, unaungana na Makamba kwamba hao ndugu walitwaliwa kwa sababu ya ubaya na uovu wao?!
Hovyo ya ccm inaumiza taifa letu.Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Mkuu mtume Issa Bin Mariam kwenye Mathew 5: 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza.Sheria za nchi zinakinzana na hilo kwa kuwa walioambiwa wapo katika Agano la Kale.Katika Agano Jipya hakuna hayo. Bwana wa Sabato alikuja kuikamilisha vizuri injili.
Mimi naona Januari akipaa sana kwenye awamu hii ya serikali. Juzi mama kaomba ridhaa ya mkutano mkuu CCM kufanya mabadiliko makubwa katika serikali yake. Mpaka kuomba hiyo ridhaa inaonyesha mabadiliko yaweza kuwa makubwa hata kumkumba Waziri mkuu. We huoni Makamba akipaa sana?Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Huyu mzèe wasijekuthubutu kumpa tena ahutubie maana naona anaropoka tu bila kutafakariYaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Ina maana ukoo wa akina Makamba hakuna mtu mzuri ambaye amewahi kufa? mzee mjinga sn na mdini mkubwaYaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru.
Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti ulimi uliteleza. Huko ughaibuni hii ni fedheha kwa taifa na January na ukoo wao wote waachie ngazi.
Waliompa nafasi ndiyo zaidi yakeAibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Mi naona sawa tu! Huyo mzee ndiye anayetumiwa kuwapamba wagombea, na kuwaponda wanaoamini ni adui wa CCM. Miaka ya nyuma, alikuwa anatumika Chrisant Mzindakaya. Kastaafu, kazi kapewa huyu MSWAHILI wa Tanga!Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Sawa.Yeye na baba yake wote wanamakosa. Wanachuki zilizo wazi kwa uongozi uliopita.
January baada ya kuudaka uwaziri Cha kwanza kufanya ni kupambana na kivuli Cha Magufuli, kila alichokuwa kafanya Magufuli kwake vyote ni vibaya. Piga chini viongozi wote walioteuliwa na kipindi Cha uongozi wa Magufuli. Akaja na kejeli kuwa mitambo ilikuwa haifanyiwi service na porojo kibao kuhusu bwawa la Nyerere. Leo wote ni mashuhuda umeme tumerudi kwenye zama za majenereta.
Una assume ana akili za kuona aibu.Aibu aliyoipata yule mzee inamtosha, natumai next time atapunguza ujinga wake wa kuongea hovyo kila akipewa hiyo nafasi, lazima ajifunze kuchuja maneno sio kupayuka tu ili kulinda heshima yake iliyobaki, nikiamini kuna asilimia iliyopungua kwake baada ya ule ujinga wake wa juzi.
Umeeleza kitu ambacho haukielewi kimchanganuo.Siyo hivyo muheshimiwa.Mkuu mtume Issa Bin Mariam kwenye Mathew 5: 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza.
Maana yake amekuja kupigilia msumari not simple as you think brow!, Mfano anaposema usizini, na amtazaye mwanamke kwa kumtamani tayari amezini!.
(Upo hapo comrade?)
Sawa muhishimiwa nipe chenye ukweli wote!.Umeeleza kitu ambacho haukielewi kimchanganuo.Siyo hivyo muheshimiwa.
Ni hivi;Ilionekana anavunja sabato kwa kadiri ya mambo aliyokuwa akifanya na wanafunzi wake.Alipoulizwa kuhusu kama anafanya ubatili au laa,ndipo akawatolea mifano aina kwa aina.Hakuishia hapo.Akawaeleza kwamba,afanyacho si kuitangua torati.Bali ni kuiweka katika mstari na kuisahihisha upotofu wake kwa kuzingatia tafsiri mbaya za wanadamu.Sawa muhishimiwa nipe chenye ukweli wote!.