January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni


.why January and not aliemwalika jukwaani?



.
 
Mkuu katika nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala wa sheria watu hawahukumiwi kwa makosa ya baba zao.

Watu wanahukumiwa kwa makosa yao.

Mhukumu January Makamba kwa makosa ya January Makamba, si kwa makosa ya baba yake.
Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alijiuzuru uwaziri kutokana na makosa yaliyofanywa na Polisi Shinyanga, mbali kote huko wakati ofisi yake iko Dar.
 
Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alijiuzuru uwaziri kutokana na makosa yaliyofanywa na Polisi Shinyanga, mbali kote huko wakati ofisi yake iko Dar.
Mkuu, unapofananisha mambo, fananisha yanayofananishika.

Ali Hassan Mwinyi hakujiuzulu kwa makosa ya baba yake.

Alijiuzulu kwa uzembe wake wa kutokuwa in touch na watu anawaowaongoza.

Katika uongozi kuna kanuni za mkubwa kazini kujiuzulu kwa sababu yeye ni kiongozi na alipaswa kuongoza vizuri zaidi.

Hili halipaswi kufananishwa na mtu kutakiwa kujiuzulu kwa makosa ya baba yake.

You are comparing apples to oranges.
 
Reactions: Tui
January na Baba January ni vitu viwili tofauti......
 
Sawasawa..
 
Mpumbavu mmoja wewe
So waliokufa ni wenye matendo mabaya? Uzima usiwape kiburi na kujisahau kuona ninyi ni wema kuliko waliotangulia.
Mungu zipumzishe roho zilizotangulia ktk ufalme wa pendo lako.
Chuki zenu kwa makambas zisiwafanye muwe vipofu wa akili baya gani ameongea huyo ndau unaemtukana?!! Umemuelewa kwanza au?!!!
 
Mataga mtalishikia sana hili bango
 
Najua January anachangamoto zake zinazoongelewa mitandaoni ila kwa hili, sioni kwa nini ajiuzulu?
  1. Kwanza sio yeye aliyemleta baba yake kwenye mkutano wa CCM
  2. Sio yeye aliyempa nafasi ya kuongea
  3. Sio kazi yake kumpangia cha kuongea kwa kuwa wapo waliompendekeza aongee
  4. Kimsingi sio hata kazi yake kumuambia mzee aombe msamaha kwa kuwa, Aliyeongea pale sio baba yake bali ni Katibu mkuu Mstaafu wa CCM.
Ushauri;
Jinsi umri unavyokwenda, inafika kipindi uwezo wa kuchambua mambo unapungua
Wahusika wawe makini kuchagua watu wa kuongea. Kwa hili wangemshauri mzee Makamba aombe radhi kwani pale jukwaani kulikuwa na wajane kadhaa ambao naamini waliumia sana!
 
Unayemueleza hayo anakuelewa?Ameweka kichwa tu kama punje ya mchele.Yupoyupo tu.
 
Kwwnza kamtukana JPM ambaye hakuwahi kuwa rais chaguo la CCM.

CCM wanachokifanya ni kutudhihirishia kuwa JPM alikuws chaguo la Kikwete na siyo NEC kama inavyotakiwa.


Pili, hawezi kujiuzulu kwa sababu kwake cheo hakijawahi kuwa dhamana. Cheo kwake ni fursa.


Tatu, hawezi kujiuzulu kwa sababu ashashiriki madudu mengi ndani ya CCM. Anautaka urais hivyo anasimama mguu chini hadi kisomeke
 
Sasa ndg kilichoandikwa kwenye Mathew 5: 17 na hicho ulichoandika kina tofauti gani hadi useme nimeandika wrong?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…