January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

Makamba Yuko hapa 👆 anasoma matusi Dhidi yake, anajipa Moyo Kwamba hawa Sio wa tz wote
kupendwa na wote sio afya sana kisiasa, ni hatari. rejea kenya ilivyo kua na ilivyo...

wanaokuchukua na maadui ni fursa ya kujiimarisha na kua bora, jasiri na mwenye nguvu zaid
 
Hongea mghoshi wa kaya.
 
positive minds, views and suggestions kama hizi huwa mnachelewa nazo wapi lakini gentleman ? dah

thank you
 
Kwa hili naunga hoja.Mnyonge mnyongeni ila hongera zake apewe.Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfatilia aisee Mh January Yuko vizuri sana...Ni moja wa mawaziri wanaojua mambo mengi,Waziri classy yuko na weledi wa Hali ya juu sana.Nimeona anavyolishughulikia hata suala la diaspora kisasa zaidi.Ananikumbusha kipindi Mh JK akiwa Waziri wa mambo ya nnje..Nyongeza yangu tu kwa Mh ajitahidi kuwatafutia ajira vijana wetu nje ya nchi,si mbaya kuiga kama wanayofanya wakenya.Nafasi za kufundisha kiswahili nje ya nchi tumewaachia sana wakenya ilhali sisi ndiyo nguli wa hii lugha.Generetion Z wa Tanzania wanaweza sana lugha ya kiingereza kuliko sisi kaka na wazazi wao..Akiwekeza nguvu kwenye hili na nyanja mbalimbali pia kama za wahandisi wengi wanahitajika sana huko nje hasa kwenye migodi(asilimia kubwa ya watz wanayofanya kazi migodi ya nje ya nchi nafasi Huwa wanazipata kwa kujuana hasa connection kutoka kwa ma boss wao waliowafahamu toka migodi ya Tz).
Zaidi namwombea kila la heri.
 
atakae weza kufanya zaidi ya anachofanya waziri January Makamba, pale mambo ya nje na kuipaisha Tanzania katika uso wa dunia kiasi hiki nadhan hajazaliwa bado, tuwe wangwana tu, jamaa anapiga kazi bana
Hizi ni pumba na mahali pake ni jalalani au kwenye zizi la nguruwe.

Makamba ndiyo anaipaisha Tanzania? Wacha upotoshaji wewe. Tanzania kimataifa ilianza kupaa tangu JKN Baba wa Taifa akipigania uhuru miaka ya 1950s.

Na alipokuwa Rais wa kwanza akasimama kidete kwa ajili ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa (Mozambique, Rhodesia, Angola, Namibia & South Africa.)

Kila waziri aliyefanya kazi wizara hiyo alikuta misingi imewekwa. Ndiyo maana nasema wewe mdwanzi una agenda yako ya kumfagililia huyu kipara anayebebwa na Baba yake na Mzee wa Msoga. Bila Baba yake na JK angekuwa anauza mapeas kama wasambaa wenzie tu pale Kariakoo
 
umeeleza vizuri japo umeeanza na mihemko na dhihaka, kalimi hoyo haina maana kwangu,

observation yangu katli maelezo yako ni kwamba unaavoido sana kueleza habari za waziri January Makamba kwasababu, huna la kumsemea, liwe zuri au baya, bali huenda ulifuata mkumbo tu kujaribu kumchukia lakin huna la kukufanya umchukie
 
this is among very very heavier and impressive replies politically speaking, aisee

thank you very much gentleman
 
Kwa sasa dunia inabadilika hao watu wa kubebwa bebwa na hata kufikia kuwa wazir wa Mambo ya nje, bila ufanisi hatuwataki.

Tunataka na tunakwenda kwenye competence base. Kama huna uwezo unawekwa pembeni. Hii kusifiwa sifiwa huku huna uwezo si muda mrefu itapotezwa. Mabadiliko makubwa yanakuja dunia. Tanzania sio kisiwa. Jiandae na tega sikio.
 
Wa kuuza rasilimali zetu na bandari
 
Ndio huyo anataka kwenda kujenga magorofa ya mabilioni huko nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…