Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupendwa na wote sio afya sana kisiasa, ni hatari. rejea kenya ilivyo kua na ilivyo...Makamba Yuko hapa 👆 anasoma matusi Dhidi yake, anajipa Moyo Kwamba hawa Sio wa tz wote

Hongea mghoshi wa kaya.wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Amefit sana na sijui kwa nini baba yake JK hakumchagua Foreign affairs siku nyingi ili awe mbobezi.
Tatizo la makamba ana ego na overconfidence na hii ilisababisha yeye na mbarawa kukwaruzana sana kipindi wako science and technology.
Mi nadhani CCM ijifunze yanayotokea duniani watu hawapendi hawa watu wanaoritjisgwa mamlaka. Yaani baba alikiwa katibu mkuu basi mtoto lazima aje awe waziri. This iritates wananchi na sisi sio kisiwa tujifunze kwa wenzetu.
Na amini kwa haya yanayotokea Africa na duniani huko Lebabon, Tunisia, Argentina mama ajitahidi 2026 atupe katiba mpya ile ya warioba maana hakuna siri yake kenya wanayoyapigia kelele na tanzania watu wanatamani yatokee

positive minds, views and suggestions kama hizi huwa mnachelewa nazo wapi lakini gentleman ? dah
Kwa hili naunga hoja.Mnyonge mnyongeni ila hongera zake apewe.Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfatilia aisee Mh January Yuko vizuri sana...Ni moja wa mawaziri wanaojua mambo mengi,Waziri classy yuko na weledi wa Hali ya juu sana.Nimeona anavyolishughulikia hata suala la diaspora kisasa zaidi.Ananikumbusha kipindi Mh JK akiwa Waziri wa mambo ya nnje..Nyongeza yangu tu kwa Mh ajitahidi kuwatafutia ajira vijana wetu nje ya nchi,si mbaya kuiga kama wanayofanya wakenya.Nafasi za kufundisha kiswahili nje ya nchi tumewaachia sana wakenya ilhali sisi ndiyo nguli wa hii lugha.Generetion Z wa Tanzania wanaweza sana lugha ya kiingereza kuliko sisi kaka na wazazi wao..Akiwekeza nguvu kwenye hili na nyanja mbalimbali pia kama za wahandisi wengi wanahitajika sana huko nje hasa kwenye migodi(asilimia kubwa ya watz wanayofanya kazi migodi ya nje ya nchi nafasi Huwa wanazipata kwa kujuana hasa connection kutoka kwa ma boss wao waliowafahamu toka migodi ya Tz).Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Hizi ni pumba na mahali pake ni jalalani au kwenye zizi la nguruwe.atakae weza kufanya zaidi ya anachofanya waziri January Makamba, pale mambo ya nje na kuipaisha Tanzania katika uso wa dunia kiasi hiki nadhan hajazaliwa bado, tuwe wangwana tu, jamaa anapiga kazi bana![]()
umeeleza vizuri japo umeeanza na mihemko na dhihaka, kalimi hoyo haina maana kwangu,Hizi ni pumba na mahali pake ni jalalani au kwenye zizi la nguruwe.
Makamba ndiyo anaipaisha Tanzania? Wacha upotoshaji wewe. Tanzania kimataifa ilianza kupaa tangu JKN Baba wa Taifa akipigania uhuru miaka ya 1950s.
Na alipokuwa Rais wa kwanza akasimama kidete kwa ajili ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa (Mozambique, Rhodesia, Namibia &South Africa.)
Kila waziri aliyefanya kazi wizara hiyo alikuta misingi imewekwa. Ndiyo maana nasema wewe mdwanzi una agenda yako ya kumfagililia huyu kipara anayebebwa na Baba yake na Mzee wa Msoga. Bila Baba yake na JK angekuwa anauza mapeas kama wasambaa wenzie tu pale Kariakoo

this is among very very heavier and impressive replies politically speaking, aiseeKwa hili naunga hoja.Mnyonge mnyongeni ila hongera zake apewe.Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfatilia aisee Mh January Yuko vizuri sana...Ni moja wa mawaziri wanaojua mambo mengi,Waziri classy yuko na weledi wa Hali ya juu sana.Nimeona anavyolishughulikia hata suala la diaspora kisasa zaidi.Ananikumbusha kipindi Mh JK akiwa Waziri wa mambo ya nnje..Nyongeza yangu tu kwa Mh ajitahidi kuwatafutia ajira vijana wetu nje ya nchi,si mbaya kuiga kama wanayofanya wakenya.Nafasi za kufundisha kiswahili nje ya nchi tumewaachia sana wakenya ilhali sisi ndiyo nguli wa hii lugha.Generetion Z wa Tanzania wanaweza sana lugha ya kiingereza kuliko sisi kaka na wazazi wao..Akiwekeza nguvu kwenye hili na nyanja mbalimbali pia kama za wahandisi wengi wanahitajika sana huko nje hasa kwenye migodi(asilimia kubwa ya watz wanayofanya kazi migodi ya nje ya nchi nafasi Huwa wanazipata kwa kujuana hasa connection kutoka kwa ma boss wao waliowafahamu toka migodi ya Tz).
Zaidi namwombea kila la heri.

Kwa sasa dunia inabadilika hao watu wa kubebwa bebwa na hata kufikia kuwa wazir wa Mambo ya nje, bila ufanisi hatuwataki.sasa gentleman,
si uje kwa utulivu tu useme kwamba labda wewe umeona wizara ya manbo ya nje chini ya January Makamba haifanyi vizuri kwasababu ya hii ile na ile?
sasa wewe umekurupuka tu, kueleza muhemko na ghadhabu zako nje kabisa ya mada, sasa itakusaidia nini![]()
Karibu sana ....this is among very very heavier and impressive replies politically speaking, aisee
thank you very much gentleman![]()
Wa kuuza rasilimali zetu na bandariWizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Ukibinywa utoe ushahidi utaanza kujiliza tuu.Makamba kwa kujipigiandebe wakati ni mwizi namba Moja WA Mali za umme
Wewe sio chawa tu Bali mwongo.
Mwizi mkubwa yuleNdio huyo anataka kwenda kujenga magorofa ya mabilioni huko nje ya nchi.
Mnataka kuwadhulumu wakristo ???!Rais wetu wa awamu ya Saba huyo
Ni mambo ya aibu snItakuwa umekuja kwa niaba yake kuja kuangalia upepo unavyopepea, maana watu wana risiti zake toka akiwa kule alipotuumiza watz!.