January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

Kajamaa kanapiga hela sana.

Taarifa zake tunazo.

Kazi kunyoa upara tu na kukunja mashati.
wew upara unao huna haja ya kunyoa, malizia hayo meno mawili yalivyo baki uachane na habari ya mswaki
Ukiwasifia wajinga werevu hatuwezi kukuacha tu na kukutazama ukipotoka waziwaz
mwerevu aliefika ukomo wa mawazo na fikra mbadala dhidi hoja ya msingi sio 🀣

kwamba ni hodari wa mihemko tu na kuporomosha matusi si ndio mawazo yako mbadala 🀣
 
Mambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.
 
wewe kipara ngoto labda uwe rais wa bumbuli ila Tanzania hii ya watanzania thubutu! utaroga na kuiba sana ila hauambulii kitu
kushinda mihemko ni kitu rahisi sana aiseπŸ’

ila pale mambo ya nje pamenoga mno na huyu waziri MCHAPAKAZI KIJANA January Makamba πŸ’
 
Mambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.
mihemko ikiwekwa kando unaweza kuelewa na kufahamu mambo vizur sana, juu ya jinsi kulivyonoga pale mambo ya nje chini ya waziri huyu January Makamba πŸ’
 
sidhani details informations hadi za namba zinahitajika kwenye ukweli huu bayana juu ya umahiri mkubwa sana wa waziri January Makamba kuinyoosha wizara ya Mambo ya Nje.....

inahitaji kujua kusoma, kuskia na kuona tu kufahamu ukweli huu kwa mambo yanayofanyika hadharini mchana kweupe gentleman, unless una kitu binafsi moyoni πŸ’
 

Mwambie sisi wanachama wa NSSF tunatambua mkakati wake wa kupiga hela zetu kwa miradi yake anayotaka kuanzisha huko nje ya nchi ya ujenzi wa towers sijui. Ni wajinga tu ambao hawatambui kuwa yeye ni mpigaji na wenzie.
 
Toka lini watanzania wanafatilia maswala ya mambo ya nje,hizo ni Wizara zisizokuwa na mchecheto.

Ili tujue yeye ameiva kwenye uongozi,apewe Wizara zainagusa Wananchi moja kwa moja kama Ardhi,Umeme,Maji au TAMISEMI uone kama hajachemka.
 
Mwambie sisi wanachama wa NSSF tunatambua mkakati wake wa kupiga hela zetu kwa miradi yake anayotaka kuanzisha huko nje ya nchi ya ujenzi wa towers tu. Ni wajinga tu ambao hawatambui kuwa yeye ni mpigaji na wenzie.
utapata ahuweni kubwa sana kwa kutoa la moyoni, maoni yako ni muhimu sana,

hata hivyo kazi kubwa sana anayoifanya waziri January Makamba hatadhoofishwa na tuhuma za kubuni. atapendelea kuchapa kazi kwa weledi ili Heshima ya Tanzania duniani iendelee kua juu zaid πŸ’
 
Mwizi tu huyo kazi kumpiga mama fix, ule utapeli wake wa kujenga magorofa ya uwekezaji kwenye majiji nje ya nchi unaendeleaje?!.
Kuna watu hawana huruma kabisa na pesa za walipa kodi, imagine miradi ya hapa hapa bongo tu udanganyifu/wizi ni mwingi je huko nje ya nchi hali itakuwaje...si ndio yatajengwa majengo HEWA kabisa!!.
 
Asante mkuu kwa kuliuona hilo na wewe..hawa jamaa wanatuona sisi wajinga sana. Eti anakuja huku kusifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…