January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

Kajamaa kanapiga hela sana.

Taarifa zake tunazo.

Kazi kunyoa upara tu na kukunja mashati.
wew upara unao huna haja ya kunyoa, malizia hayo meno mawili yalivyo baki uachane na habari ya mswaki
Ukiwasifia wajinga werevu hatuwezi kukuacha tu na kukutazama ukipotoka waziwaz
mwerevu aliefika ukomo wa mawazo na fikra mbadala dhidi hoja ya msingi sio 🤣

kwamba ni hodari wa mihemko tu na kuporomosha matusi si ndio mawazo yako mbadala 🤣
 
wew upara unao huna haja ya kunyoa, malizia hayo meno mawili yalivyo baki uachane na habari ya mswaki

mwerevu aliefika ukomo wa mawazo na fikra mbadala dhidi hoja ya msingi sio 🤣

kwamba ni hodari wa mihemko tu na kuporomosha matusi si ndio mawazo yako mbadala 🤣
Mambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.
 
wewe kipara ngoto labda uwe rais wa bumbuli ila Tanzania hii ya watanzania thubutu! utaroga na kuiba sana ila hauambulii kitu
kushinda mihemko ni kitu rahisi sana aisešŸ’

ila pale mambo ya nje pamenoga mno na huyu waziri MCHAPAKAZI KIJANA January Makamba šŸ’
 
Mambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.
mihemko ikiwekwa kando unaweza kuelewa na kufahamu mambo vizur sana, juu ya jinsi kulivyonoga pale mambo ya nje chini ya waziri huyu January Makamba šŸ’
 
Kwa bahati mbaya labda unakuwa na idea ya makala, na pengine unakuwa na haraka ya kuiwasilisha hapa, hadi inakosa uzito unaohitajika kulingana na idea yake.

Kwa mfano hii, unaona kabisa kuna details zilihitajika, hasa za namba ili tuone tofauti ya sasa na kabla ya sasa . Hapo tunaweza kupongeza kwa hatua hiyo.

Lakini, kwa hii naona kama kupamba mtu kwa kutulazimisha na sisi tuoe pongezi bila kupata nafasi ya kupima. So, ungejaza details ingekuwa vizuri zaidi.

Ova
sidhani details informations hadi za namba zinahitajika kwenye ukweli huu bayana juu ya umahiri mkubwa sana wa waziri January Makamba kuinyoosha wizara ya Mambo ya Nje.....

inahitaji kujua kusoma, kuskia na kuona tu kufahamu ukweli huu kwa mambo yanayofanyika hadharini mchana kweupe gentleman, unless una kitu binafsi moyoni šŸ’
 
Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..

Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...

heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k

una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?šŸ’

Mwambie sisi wanachama wa NSSF tunatambua mkakati wake wa kupiga hela zetu kwa miradi yake anayotaka kuanzisha huko nje ya nchi ya ujenzi wa towers sijui. Ni wajinga tu ambao hawatambui kuwa yeye ni mpigaji na wenzie.
 
Toka lini watanzania wanafatilia maswala ya mambo ya nje,hizo ni Wizara zisizokuwa na mchecheto.

Ili tujue yeye ameiva kwenye uongozi,apewe Wizara zainagusa Wananchi moja kwa moja kama Ardhi,Umeme,Maji au TAMISEMI uone kama hajachemka.
 
Mwambie sisi wanachama wa NSSF tunatambua mkakati wake wa kupiga hela zetu kwa miradi yake anayotaka kuanzisha huko nje ya nchi ya ujenzi wa towers tu. Ni wajinga tu ambao hawatambui kuwa yeye ni mpigaji na wenzie.
utapata ahuweni kubwa sana kwa kutoa la moyoni, maoni yako ni muhimu sana,

hata hivyo kazi kubwa sana anayoifanya waziri January Makamba hatadhoofishwa na tuhuma za kubuni. atapendelea kuchapa kazi kwa weledi ili Heshima ya Tanzania duniani iendelee kua juu zaid šŸ’
 
Mwizi tu huyo kazi kumpiga mama fix, ule utapeli wake wa kujenga magorofa ya uwekezaji kwenye majiji nje ya nchi unaendeleaje?!.
Kuna watu hawana huruma kabisa na pesa za walipa kodi, imagine miradi ya hapa hapa bongo tu udanganyifu/wizi ni mwingi je huko nje ya nchi hali itakuwaje...si ndio yatajengwa majengo HEWA kabisa!!.
 
Asante mkuu kwa kuliuona hilo na wewe..hawa jamaa wanatuona sisi wajinga sana. Eti anakuja huku kusifia.
 
Back
Top Bottom