JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Ukiwasifia wajinga werevu hatuwezi kukuacha tu na kukutazama ukipotoka waziwazna unaona aibu kumtaja anae stahili sifa na heshima š¤£
mihemko tu inakusumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwasifia wajinga werevu hatuwezi kukuacha tu na kukutazama ukipotoka waziwazna unaona aibu kumtaja anae stahili sifa na heshima š¤£
mihemko tu inakusumbua
wew upara unao huna haja ya kunyoa, malizia hayo meno mawili yalivyo baki uachane na habari ya mswakiKajamaa kanapiga hela sana.
Taarifa zake tunazo.
Kazi kunyoa upara tu na kukunja mashati.
mwerevu aliefika ukomo wa mawazo na fikra mbadala dhidi hoja ya msingi sio š¤£Ukiwasifia wajinga werevu hatuwezi kukuacha tu na kukutazama ukipotoka waziwaz
Mambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.wew upara unao huna haja ya kunyoa, malizia hayo meno mawili yalivyo baki uachane na habari ya mswaki
mwerevu aliefika ukomo wa mawazo na fikra mbadala dhidi hoja ya msingi sio š¤£
kwamba ni hodari wa mihemko tu na kuporomosha matusi si ndio mawazo yako mbadala š¤£
Kitanda hakizai haramuEndelea kujidanganyaa mkuu
Kuzaliwa bukoba si tiketi ya kuwa muhaya mkuuu baba yake ni msambaa
kushinda mihemko ni kitu rahisi sana aisešwewe kipara ngoto labda uwe rais wa bumbuli ila Tanzania hii ya watanzania thubutu! utaroga na kuiba sana ila hauambulii kitu
kwani unashindana na nani?kushinda mihemko ni kitu rahisi sana aiseš
ila pale mambo ya nje pamenoga mno na huyu waziri MCHAPAKAZI KIJANA January Makamba š
mihemko ikiwekwa kando unaweza kuelewa na kufahamu mambo vizur sana, juu ya jinsi kulivyonoga pale mambo ya nje chini ya waziri huyu January Makamba šMambo tunayozungumza ss ni makubwa kiasi kwamba ubongo wa chawa hauwezi kuelewa.
fisadi makamba hupambani nae?Na mihemko tu š
sidhani details informations hadi za namba zinahitajika kwenye ukweli huu bayana juu ya umahiri mkubwa sana wa waziri January Makamba kuinyoosha wizara ya Mambo ya Nje.....Kwa bahati mbaya labda unakuwa na idea ya makala, na pengine unakuwa na haraka ya kuiwasilisha hapa, hadi inakosa uzito unaohitajika kulingana na idea yake.
Kwa mfano hii, unaona kabisa kuna details zilihitajika, hasa za namba ili tuone tofauti ya sasa na kabla ya sasa . Hapo tunaweza kupongeza kwa hatua hiyo.
Lakini, kwa hii naona kama kupamba mtu kwa kutulazimisha na sisi tuoe pongezi bila kupata nafasi ya kupima. So, ungejaza details ingekuwa vizuri zaidi.
Ova
Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?š
Hatutamsahau huko,,, yani mgao uliisha kuingia yeye tu dah hata hajasikilizia kwanza akaanza madili yake na mgao juuau kuna mahali sijaeleweka gentleman,
Wizara ya Mambo ya Nje na Umeme tena š
utapata ahuweni kubwa sana kwa kutoa la moyoni, maoni yako ni muhimu sana,Mwambie sisi wanachama wa NSSF tunatambua mkakati wake wa kupiga hela zetu kwa miradi yake anayotaka kuanzisha huko nje ya nchi ya ujenzi wa towers tu. Ni wajinga tu ambao hawatambui kuwa yeye ni mpigaji na wenzie.
Asante mkuu kwa kuliuona hilo na wewe..hawa jamaa wanatuona sisi wajinga sana. Eti anakuja huku kusifia.Mwizi tu huyo kazi kumpiga mama fix, ule utapeli wake wa kujenga magorofa ya uwekezaji kwenye majiji nje ya nchi unaendeleaje?!.
Kuna watu hawana huruma kabisa na pesa za walipa kodi, imagine miradi ya hapa hapa bongo tu udanganyifu/wizi ni mwingi je huko nje ya nchi hali itakuwaje...si ndio yatajengwa majengo HEWA kabisa!!.
Hata wewe unaibiwakwahiyo amewekwa kwenye mfumo wa kuiba nyie mmekaa mmekodoa mimacho tu mnasubiri kuibiwa š¤£
Tulia dada angusi uweke mfumo wa mihemko na ghadhabu zako sasa š