TANESCO wasengerema hata bwawa likamilike hawatokosa sababu za kukata umeme hawa wajinga suala la kukata umeme kwao ni faida kubwa sana na hawatoacha kukata hata aje Rais gani ukataji umeme kwao ni faida mno kinyume na vile tunavyojua kwa hio hawatoacha kukata umeme hata watu walie vipi kuhusu kukata umeme labda wale MABOSS Mapapa wote wa TANESCO watimuliwe wawekwe MABOSS wapya
Wewe ndio hujamwelewa,hiyo njia ya Chalinze Iko 98%
Umeme utazalishwa Kwa awamu wataingiza megawatt 700 Kwa awamu 3 so ndio kusema awamu ya kwanza mwaka huu inaanza
Tumekaa giza siku mbili, hatujaona mwanga wa umeme, mchana ni giza , usiku ni giza. Inasikitisha sana na TANESCO na mbaya zaidi haijulikani umeme utarudi lini