Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Hivi bwawa lishaanza kuzalisha ama bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANESCO wasengerema hata bwawa likamilike hawatokosa sababu za kukata umeme hawa wajinga suala la kukata umeme kwao ni faida kubwa sana na hawatoacha kukata hata aje Rais gani ukataji umeme kwao ni faida mno kinyume na vile tunavyojua kwa hio hawatoacha kukata umeme hata watu walie vipi kuhusu kukata umeme labda wale MABOSS Mapapa wote wa TANESCO watimuliwe wawekwe MABOSS wapyaHivi bwawa lishaanza kuzalisha ama bado
Wewe ndio hujamwelewa,hiyo njia ya Chalinze Iko 98%
Umeme utazalishwa Kwa awamu wataingiza megawatt 700 Kwa awamu 3 so ndio kusema awamu ya kwanza mwaka huu inaanza