January Makamba kuitwa Rais ajaye na ukaribu wa familia yake na Mange Kimambi kumemponza na kutumbuliwa nafasi yake ya Waziri wa Mambo ya Nje

Mbongo mpe 'heading' story atakuandikia yeye.

Tutasikia kila jambo kuhusu waliotenguliwa.
Na kesho akiteuliwa tena utasikia Makamba ni special case hawezi kaa bench.

Katika kutenguliwa kwa Makamba na Bwaku Bwaku Nape kuna funzo moja tu, daima kama mshirikina, hakikisha huendi kuroga kwa mgang mmoja na rafiki yako.
Ona sasa kila wakiteuliwa wanateuliwa wote na wakitumbuliwa wanatumbuliwa wote😂
 
Czani kama hiyo ni sababu, kwani tenguzi/teuzi hizi ni kama sandakalawe tu, akiamua ni hivyo, sasa mfano kwenye ardhi kulikuwa kuna shida gani? Alijitahidi kiasi chake lakini yuko wapi?
Huyo ardhi akiacha majukumubyake ya msingi akakimbilia vikesi vidogovidogo je unadhani kwa mwendo wake huo hata angekaa wizarani miaka 20 angeweza kufika Manyoni kutatua migogoro ya ardhi? Angeweza kufika Karagwe nk. Alikuwa anajidanganya tu.
 
Mwigulu Nchemba ni joka la mapambo linalosubiri kummeza mfugaji wake anayelililisha chakula.
Mwigulu Nchemba ni mbinafsi mkubwa sana.Anautaka urais na amejiwekea akiba nzuri ya kuhakikisha anaupata.
Mama atapigwa surprise na itakuwa amechelewa
Can't wait to see it happening
 
Hawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025. Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
Kwamba wasingeweza kufocus na goli la mkono wakiwa serikalini!? Walipotemwa na JPM walipelekwa kwenye chama kupambania goli la mkono? Ukweli ni ndani ya CCM kuna fukuto kuelekea uchaguzi wa 2025.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Hizi ni porojo... Kama Kuna madudu washtakiwe kwa ubadhirifu au makosa mengine? Hapa mmekosea sana sababu tunaanza kampeni za kutaka urais rasmi
 
Fikirs potofu: inawezekana alikuwa baits kwa ajili ya kumnasa kigogo na mange na tayari walishanaswa wote kazi kwisha sasa utekelezaji tu kama vile dodo na ubobezi hahahaha huwezi shindana na mamlaka, maana pena alikuwa anajiona eti mpaka kuandaa sherehe ya kumkumbuka mzee nape na kuendesha vijembe. Dkt Samia kata kabisa mpaka mizizi kama vile dodo huyo ili uwe poa
 
Yaani mr para awe rais mm sitakubali labda rais wa bumbili huko mparau pawar full mngwashi junta huko mlimani sio ebu kuweni na adabu huyu jamaa bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…