Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Ina maana ni wizara moja tu iliyochunguzwa?.....Kuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Unaelewa udaku uliokuwa unapelekwa kwa Dada Kimavi kuhusiana na Rais?Huyo RC mwenyewe ni mdaku, kwani ukoo wa Makamba hawana haki kutawala nchi hii? Ukoo upi wenye haki?
Nape/ Makamba makampeni meneja. goli la mkono .this time sidhani mama atakubali dhambi hiyo ninamuona kuwa ana hofu ya Mungu. si ya kinafikiHawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025. Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
Aliyesababisha iwe white elephant ni Makamba au Serikali?Ule mradi wa NSSF kule kenye ile ni white elephant project
Kuna mambo ya kisiasa nimeyataja hapo juu.Hizi ni porojo... Kama Kuna madudu washtakiwe kwa ubadhirifu au makosa mengine? Hapa mmekosea sana sababu tunaanza kampeni za kutaka urais rasmi
Kuna kina Makala, Makonda, Ma DED wote nchi nzima hawa ndio waiba kura na hata Jiwe aliwahi kusema kama DED unalipwa na Serikali ya CCM alafu utangaze mpinzani mshindi anakulima kichwaKila nyakati zina mtu wake. Unategemea wazee wa 1995 ndo wawe bench la ufundi Leo?
Commemts za leo zinastarehesha sana kwa kweli.Hawa wahuni Kuna kitumwendazake aliona akawatimua, Sasa imedhihirika kweli Ni wahuni. Imagine Makamba alitaka aibe pesa kwa kisingizio Cha kujenga magorofa Nairobi wakati Bumbuli hakuna hata gorofa moja.
Bumunda limehusika Sana na gharama kubwa za vifurushi na ulevi usio na tija Hadi kamponza yule mhaya.
Kama mama anataka tuendelee kumuunga mkono atuondolee Mwigulu mmiliki wa timu za mpira na kampuni za mabasi na huyu aliyeamua kuwaumiza wakulima wa miwa msomali ambaye hata uraia wake Ni wa mashaka. Bashir aliyebadilisha jina na kujiita Bashboy.
Ccm imekuwa ikiiba kura toka 1995 wakati huo hawa wawili sio lolote. Hakuna fundi wa kuiba kura CCM bali ni Chama ndio fundi
Utoto raha Sana ya unaweza fikiri chochote na ukakiongeaBado dogo ni raisi ajaye. Amerudishwa masaki for 2025. Mbinu za Kizimkazi wengi zinawapiga chenga.
Hukuona madudu aliyoyaanzisha ya kutaka kugeuza wizara ya mambo ya nje kuwa wizara ya uwekezaji wa kujenga magorofa Kenya?Sasa nbona nakamba ana muda mchache tu wizarani hayo madudu kayafanya lini
Hakuna MTU anayesema ukweli Kama mtoto mdogo na mlevi. Juzi nape alikua amelewa chakari ndio akaongea ukweli wa rohoni mwake.Nape hasa kauli ya juzi imemponza, ni sawa na kusema chama chake kinaiba kura na hakijawahi kushinda.
Licha ya hayo. Madudu aliyofanya tanesco Ni zaidi ya kunguni.Hukuona madudu aliyoyaanzisha ya kutaka kugeuza wizara ya mambo ya nje kuwa wizara ya uwekezaji wa kujenga magorofa Kenya?
Kwa mantiki hiyo Kafulila naye ajiandae kutumbuliwa kwani kuna watu wanamtaja taja sana kuhusu uraisKuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Vipi kuhusu kujiuzulu Kwa karibu wake.Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Hata kwa JPM tuliwaambia mkasema utoto.Utoto raha Sana ya unaweza fikiri chochote na ukakiongea