milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Anaachia ubunge na ndoto za kuwa rais ndo zimezama topeni
Kuna uwezekano mkubwa mleta mada anachafua Chama!!!Kwahiyo vyeo wanapeana baada ya majadiliano ya kifamilia na sio competency ya mhusika.
Ufafanuzi wq vijana kwa mujibu wa sera ama Hata katiba upoje ki-umri? Nisije kuwa najiita Mzee kumbe bado kijana.vijana
Kwa hiyo vijana waliopo ndio hao hao?January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Una uhakika?Akibubali hicho cheo atakuwa amekwisha Kisiasa. Hicho ni Cheo cha Wastaafu CCM.
Acha kukuza mambo na kuwafanya watanzania wajinga kiasi hiki.Kwa taarifa yako hiyo familia sio ya kawaida.
Yeah,ambao ni waadilifu ni wao tuKwa hiyo vijana waliopo ndio hao hao?
Hewa yule! CCM Ina tabia ya kuchukua watu wadhaifu sana!Makamu mwenyekiti anachukua mzee Pinda.
Kabendera mko wengiHabari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Subiri uoneCCM Haiwezi kufanya hiyo mistake asilani
Anakuwaje hewa?Hewa yule! CCM Ina tabia ya kuchukua watu wadhaifu sana!
Angejaza fomu zavkugombea hiyo nafasi angepata kura 3
Ni 2030Atagombea na Urais 2025?
Una uhakika?
Hiki chama kina shida kwelikweli Kila siku watu haohao kwenye serikali pia Kila siku mawaziri haohao as if hii nchi Haina wasomi wengine?Kwahiyo vyeo wanapeana baada ya majadiliano ya kifamilia na sio competency ya mhusika.