January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

Walisema tatizo la backlog kwenye usambazaji wa umeme mwisho mwaka huu.

Sasa mtu yeyote mwenye uelewa wa kawaida tu kwenye strategic planning kuna mambo angeona wana angaika nayo kwanza if that’s the mission, as yet nothing.

Hilo goal awatofikia miaka 800
 
Linganisha wakati wa Kalemani na na sasa hivi ni kipindi kipindi ambacho umeme ulikuwa unakata kata?
Kwahiyo kiu yako ni kuona Kalemani anarudishwa kuwa waziri wa nishati!??

Huyu Kalemani alikuwa na transformers, nyaya, wafanyakazi na mfumo wake wa umeme? Na siku alipotumbuliwa akaondoka navyo vyote?

Kama Kalemani hakuondoka navyo, yaani aliondoka yeye kama yeye, inawezekanaje ujio wa Makamba (mtu mmoja tu) asababishe umeme kukatika?
 
Unajua jitahidi uwe mkweli,hivi january ahujumu umeme kwa makusudi yete anafaidika nini?,unadhani akihujumu kwa makusudi mana atamwacha?
Tukubali kuna tatizo,ambalo huko nyuma lilikuwa linafichwa,mpeni muda alitatue

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Shida ni umeme' huko nyuma kama kulikuwa na tatizo linalofichwa halafu umeme unapatikana muda wote basi hilo tatizo halihusiani na umeme.
Huyo ana matatizo yake binafsi tu' njaa ni tatizo!
 
Unajua jitahidi uwe mkweli,hivi january ahujumu umeme kwa makusudi yete anafaidika nini?,unadhani akihujumu kwa makusudi mana atamwacha?
Tukubali kuna tatizo,ambalo huko nyuma lilikuwa linafichwa,mpeni muda alitatue

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
kwanini hilo tatizo lisifichwe kipindi hiki pia tukaendelea kuwa na umeme? kama kulikuwa na tatizo lakini tulifaidika nalontunahitaji liendelee hilo tatizo
 
Kwahiyo kiu yako ni kuona Kalemani anarudishwa kuwa waziri wa nishati!??

Huyu Kalemani alikuwa na transformers, nyaya, wafanyakazi na mfumo wake wa umeme? Na siku alipotumbuliwa akaondoka navyo vyote?

Kama Kalemani hakuondoka navyo, yaani aliondoka yeye kama yeye, inawezekanaje ujio wa Makamba (mtu mmoja tu) asababishe umeme kukatika?
Si kwamba Kalemani arudishwe laa hasha,
Watanzania wanataka umeme wa uhakika hasa wafanyabiashara wadogo wadogo wasio na uwezo wa kuwa na Jenerata, wenye saloon za kiume na kike, wauza juice za miwa, wenye mini bakery, wenye mafundi mafiriji nk nk, panapo kuwa na umeme wa mashaka mashaka hata biashara zao zinaathirika.
Kwa taifa lenye umri wa miaka 60 ya kujitawala si busara hadi sasa kuwa na umeme wenye kusua sua ni aibu kubwa sana, taifa ambalo lina vyanzo lukuki vya uzalishaji umeme.
Kuja wizarani kwa JM kwa namna ambavyo nilikuwa nikimwona smart na 2015 aliingia 3 bora ya watia nia kiti cha urais, nilitarajia kumwona akiisimamia wizara kwa ufanisi, lkn kuingia ooooo mara ukame umeathiri uzalishaji wa umeme, aya Mungu si Emmanuel wala Othman, mvua ikanyesha, akaja tena oooooo miundo mbinu imechakaa mara vile mara hivi,
Wakati anapaswa atengeneze alama hata ikitokea kwenda kuomba kura jukwaani awe na cha kuwaonyeaha Watanzania.
 
A stupid guy who failed to score on the National form four examinations the, he is in the US studying a https://jamii.app/JFUserGuide in conflict resolution stupidity, he is in the country, now a minister for umeme, energy. Do you expect any output? Definitely he is now speechless, of course signing documents with Europeans under the name of contracts. Which contract if you cannot even define what is a solenoid?
 
WAZIRI WA NIASHATI NI JIPU HAFAI KUONGOZA WIZARA YA NISHATI. ANAFAA KUTUMBULIWA NA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

Download
720
 
Tunaendelea kukumbushana kwa wale tulioliona hili tatizo mapema sanaaaaa
 
Back
Top Bottom