January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza kukatika katika.

Baada ya muda akarudisha watu wale wale kwenye bodi ya Tanesco ambao JPM aliwatoa, ambao walikuwepo kipindi cha kata kata ya umeme.
Tulianza kuambiwa umeme unakatwa kwa sababu ya marekebisho ya miundombinu.

Haukupita muda tukambiwa katika katika ya umeme ni kwa sababu ya ukame na maji kupungua kwenye mabwawa ya uzalishaji. Mungu si athumani mvua zikamwagika

Sasa tumetangaziwa officially kuhusu mgao ambao umekuwepo kwa miezi kadhaa, mara hii tukiambiwa ni kwa siku 10.

Huyu mtu hafai hii wizara. Dunia ya leo mgao wa umeme linatakiwa liwe jambo la kufikirika. Rais Samia toa huyu mtu hapa, kuna 'wizara za kuchezea' ila sio hii.

NB: HAIWEZEKANI HATA MWAKA HAUJAPITA TANGU JPM AFARIKI TAYARI TUNAELEKEA PRE-JPM ERA KWA KASI YA KIMBUNGA.

Hata Goliath aliwatesa sana wana Mungu. Ila Daudi akaleta wokovu.
 
1. Yaani mengi yameshasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu utendaji usioeleweka wa shirika hili la umeme tangia Makamba awe waziri wa nishati. Wananchi hawana imani naye kabisa. Hata kama hana kosa hizi tuhuma nyingi kutoka kwa wananchi zinatosha kabisa yeye kujiuzulu nafasi hiyo kwani wananchi hawana imani naye. Yaani yeye kuendelea na nafasi hiyo ni kichefu chefu kwa wananchi.

2. Kakodi software ya umeme kutoka kampuni ya Mahindra ya India (inayotengeneza magari ya shangingi) ambayo tutakuwa tunailipa capacity charge ya Tsh 70 billion kwa mwezi. Pesa hizo hazikuidhinishwa na bunge letu na wala wananchi hawajui manufaa ya hiyo software. Kama ina manufaa kwa nini tusiinunue? Kwani bei yake ya kuinunua ni shilingi ngapi? Kanuni za manunuzi zilifuatwa? Wananchi hawajasahau hao wazima moto na waziri wao walivyoshughulikiwa waliposaini mkataba wa mabilioni ya pesa wa ununuzi wa ndege zisizo na marubani za kuzima moto.

3. Kakodi kampuni ya wanasheria ya uingereza ya kufanya negotiation kwa niaba yetu na makampuni yanayotaka kuchimba LNG yetu sisi tufaidikeje. Kweli hapo tutapata hiyo 50:50 win win situation tuliyoitungia sheria? Kama hatutaipata kwa nini ichimbwe? Tunaharaka gani? Kwani negotiation team yetu ya akina Kabudi haiaminiki tena?

4. Kwa kipindi kirefu tumekuwa na umeme wa ziada wa zaidi ya MW 360 kwenye grid. Uzalishaji umekuwa MW 1,650 wakati matumizi hayazidi MW 1,200 hadi January Makamba anakabidhiwa hiyo wizara. Sasa inakuwaje kuwe na mgawo inapotokea upungufu wa uzalishaji wa MW 100 tu kwa sababu ye yote?

5. Kwa nini JNHPP ambayo ilikuwa ianze kuzalisha MW 2,115 mwezi July 2022 imewekwa kampuni tangia Makamba achukue wizara? Yeye anahangaika na tumiradi twa MW 80 kwa gesi ya Songosongo? Mradi wa kila kijiji na kitongoji kuwa na umeme ifikapo June 2022 nao umewekwa kapuni kwani hata umeme wenyewe haupo.

6. Kwa nnii bodi ya tanesco imesheheni wafanyabiasha binafsi kama akina Gachuma kwenye shirika hili la serikali? Mnataka kuturudisha tulikotoka kwa makapuni binafsi ya Afrika Kusini kutuendeshea shirika letu? Mmesahau yalivyotupiga kweli?
 
Unajua jitahidi uwe mkweli,hivi january ahujumu umeme kwa makusudi yete anafaidika nini?,unadhani akihujumu kwa makusudi mana atamwacha?
Tukubali kuna tatizo,ambalo huko nyuma lilikuwa linafichwa,mpeni muda alitatue

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Eti kulikuwa na tatizo huko nyuma lilikuwa linafichwa!!!! Ha ha ha...Kuwepo na tatizo harafu umeme usikatike ovyo ovyo kwa miaka 6? Hata kama ni uchawa siyo. Pia swala si kuhujumu, January Makamba hana ubunifu, wala vision. Hana mikakati ya kuwezesha shirika kumudu malengo yake ya kufanya watanzania wapate umeme bila shida ya kukatika katika.

Ndo maana toka aingie katika wizara, kumekuwa na majibu mengi na visingizio juu ya umeme kukatika. Huo tunaita ubabaishaji. Hata Board aliyoiunda haina msaada wowote. Mkurungezi pia, ni mgeni kabisa na hana experience yoyote na maswala ya umeme kitaifa. Huu umeme si umeme wa nyumbani kuangalia TV. Tanesco inahitaji mtu mzoefu katika maswala ya umeme, awe proffesional.

Watu wanaposema ukweli mnaanza kusingizia Magufuli, mara kuwaita sukuma ngang, ni upuuzi tu. Swala la umeme ni la kitaifa na linachangia uchumi wa nchi. Kama huna umeme toshelezi na wauhakika unategemea kweli kupata wawekezaji? Si hivyo tu watanzania wengi wanatumia umeme ktk biashara zao na shughuli nynginezo.

Niseme tena waziri (January Makamba) hana maono, hana ubunifu wala mikakati ya kuwezesha umeme toshelezi na usiokatika. Anafanya kazi kwa mazoea. Ni vema akahamishiwa wizara nyingine inayomfaa. Naongea hivi sina wivu nae wala nini.

Waziri hasihusike kuteua Mkurungezi, taratibu na sheria zibadilishwe. Mkurungezi wa Tanesco iwe nafasi ya ushindani. Nafasi itangazwe ili kupata watu wenye uzoefu na maono ya kuendesha shirika la Tanesco. Hata wajumbe wa Board, nafasi zitangazwe watu waombe wenye sifa.
Tanzania kila kitu ni teuzi, hakuna ushindani, ndo maana watu hawawajibiki kwa sababu teuzi zinafanyika kishikaji.
 
Usitukumbushe mambo ya awamu ya 5 aise.
 
Acha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule

Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.
Wee ni mpuuzi mkubwa akili Kamasi tu zimejAA
 
Huyu mtu hafai hii wizara. Dunia ya leo mgao wa umeme linatakiwa liwe jambo la kufikirika. Rais Samia toa huyu mtu hapa, kuna 'wizara za kuchezea' ila sio hii.

January hawed kuondolewa hilo wizara kwasababu
Wanakula kwa urefu wa kamba zao, mikataba fake kawapa wahindi ambao hata shughuli watakayofanya haieleweki, bodi iliisambaratisha kwa sababu ya maslahi, ni aibu, ''Majuto mjukuu.'' Makamu wa Rais aliwaonya hawa wachumia tumbo kuto kupeleka mafaili kwa Rais SSH bila kuwa yamejitosheleza. Huu ugoigoi tunaupta kwa Rais SSH.

Inasemekana na Rais amethibitisha kua mafaili yakipelekwa kwake hayalali!! Huu ni ufanisi wa hali ya juu sana, hatuna budi kumsifia Rais wetu. Hapo hapo najiuliza huku kuyashuhulikia haya mafaili kwa upesi hivyo kunatokana na weledi au kutokuwa makini na Kuyachunguza kwa undani masuala husika? Ni bora hayo mafaili yanayopelekwa kwa muheshimiwa yakachelewa lakini yakafanyiwa due diligence ya kutosha kuliko kufanya haraka ili yatoke bila kuyachunguza kwa makini!!!
Inaelekea hawa "walaji kwa urefu wa kamba Zao" wamegundua kuwa mafaili yakienda kwa boss hata Kama hayajajitosheleza huwa yanatoka upesi hivyo wamepata uchochoro wa kupitishia " KAMBA" zao ili wapate Chakula!! Kuna haja ya kuthibiti vichochoro hivi kulinda maslahi ya nchi.
 
Eti kulikuwa na tatizo huko nyuma lilikuwa linafichwa!!!! Ha ha ha...Kuwepo na tatizo harafu umeme usikatike ovyo ovyo kwa miaka 6? Hata kama ni uchawa siyo. Pia swala si kuhujumu, January Makamba hana ubunifu, wala vision. Hana mikakati ya kuwezesha shirika kumudu malengo yake ya kufanya watanzania wapate umeme bila shida ya kukatika katika.

Ndo maana toka aingie katika wizara, kumekuwa na majibu mengi na visingizio juu ya umeme kukatika. Huo tunaita ubabaishaji. Hata Board aliyoiunda haina msaada wowote. Mkurungezi pia, ni mgeni kabisa na hana experience yoyote na maswala ya umeme kitaifa. Huu umeme si umeme wa nyumbani kuangalia TV. Tanesco inahitaji mtu mzoefu katika maswala ya umeme, awe proffesional.

Watu wanaposema ukweli mnaanza kusingizia Magufuli, mara kuwaita sukuma ngang, ni upuuzi tu. Swala la umeme ni la kitaifa na linachangia uchumi wa nchi. Kama huna umeme toshelezi na wauhakika unategemea kweli kupata wawekezaji? Si hivyo tu watanzania wengi wanatumia umeme ktk biashara zao na shughuli nynginezo.

Niseme tena waziri (January Makamba) hana maono, hana ubunifu wala mikakati ya kuwezesha umeme toshelezi na usiokatika. Anafanya kazi kwa mazoea. Ni vema akahamishiwa wizara nyingine inayomfaa. Naongea hivi sina wivu nae wala nini.

Waziri hasihusike kuteua Mkurungezi, taratibu na sheria zibadilishwe. Mkurungezi wa Tanesco iwe nafasi ya ushindani. Nafasi itangazwe ili kupata watu wenye uzoefu na maono ya kuendesha shirika la Tanesco. Hata wajumbe wa Board, nafasi zitangazwe watu waombe wenye sifa.
Tanzania kila kitu ni teuzi, hakuna ushindani, ndo maana watu hawawajibiki kwa sababu teuzi zinafanyika kishikaji.

UENDESHAJI WA TANESCO UMEKAA KULIIBIA TAIFA!! CHUNGUZA HISTORIA YA MWENYEKITI WAO NA WAJUMBE WA BODI ; WOTE WANA UHUSIANO NA UFISADI WA MSOGA!!!
 
Kosa la January ni kuwa mtoto wa Makamba, Kosa la January ni kutofautiana kinawazo na marehemu JPM, Kosa la January ni kuwa na uswahiba na JK..... vinginevyo inawezekana tungemuita kichwa...

January ni moja ya vijana waliokuzwa kuwa viongozi kupitia JK sio mtu wakuzuka tu kama wengine....kiongozi huandaliwa na kuwa na haiba ya uongozi, January aliandaliwa na anaweza kuwa kiongozi mzuri...

Kama binadamu ana mapungufu yake, lakini pia ujana japo ameweza kuwa limitations pamoja na usimamizi mzuri wa mentor wake JK na Kinana..

Taifa lazima liwe na utaratibu na misingi ya kuandaa viongozi katika ngazi mbalimbali na sio kuachia watu wanazuka tu from nowhere wanakuwa viongozi....January, Hussein Bashe, Bashungwa, Riz moko, Nape, Biteko Doto, nk wanaweza kuwa viongozi wazuri..
we ni mjinga kama wajinga wengine
 
Mwigulu na January wamepewa Wizara mifupa ili kumaliza Mbio zao za Urais

Dola imeamua kuhitimisha safari zao za kisiasa

January angebaki wizara laini laini kama za Mazingira sijui sera na uratibu asingechafuka lakin hapo ndio safari yake ya kisiasa
Mtu yule ni ntu ya dili msiseme dola imeamua nyenyeye
 
Serikali ya mama iko wazi Sana haina mambo ya kuficha ficha

Lile jini lilipiga marufuku kutangaza --wagonjwa wa kipindupindu
--wagonjwa wa Zika
--wagonjwa wa korona
- na mgao wa umeme

Kila kitu kikawa kinafanywa gizani

Ndiyo maana hata lenyewe likaficha kuumwa kwake likafia gizani
Mda mwingine wewe huwa huna maana! Umejaa upumbavu usio na maana! Sasa kila kitu huyo bibiyenu akikosea mmsakama Magufuli wapuuzi nyie!
 
Sijaelewa mada,mtoa mda wala wachangiaji kwani sioni kitu ila nahisi kuna mikwaruzo ya kuvutana tu hapa, huyu anajazba huyu hana huyu chuki huyu muongo, ebu nyosheni kidole huenda nikaona nawe uwepo wako.
 
1. Yaani mengi yameshasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu utendaji usioeleweka wa shirika hili la umeme tangia Makamba awe waziri wa nishati. Wananchi hawana imani naye kabisa. Hata kama hana kosa hizi tuhuma nyingi kutoka kwa wananchi zinatosha kabisa yeye kujiuzulu nafasi hiyo kwani wananchi hawana imani naye. Yaani yeye kuendelea na nafasi hiyo ni kichefu chefu kwa wananchi.

2. Kakodi software ya umeme kutoka kampuni ya Mahindra ya India (inayotengeneza magari ya shangingi) ambayo tutakuwa tunailipa capacity charge ya Tsh 70 billion kwa mwezi. Pesa hizo hazikuidhinishwa na bunge letu na wala wananchi hawajui manufaa ya hiyo software. Kama ina manufaa kwa nini tusiinunue? Kwani bei yake ya kuinunua ni shilingi ngapi? Kanuni za manunuzi zilifuatwa? Wananchi hawajasahau hao wazima moto na waziri wao walivyoshughulikiwa waliposaini mkataba wa mabilioni ya pesa wa ununuzi wa ndege zisizo na marubani za kuzima moto.

3. Kakodi kampuni ya wanasheria ya uingereza ya kufanya negotiation kwa niaba yetu na makampuni yanayotaka kuchimba LNG yetu sisi tufaidikeje. Kweli hapo tutapata hiyo 50:50 win win situation tuliyoitungia sheria? Kama hatutaipata kwa nini ichimbwe? Tunaharaka gani? Kwani negotiation team yetu ya akina Kabudi haiaminiki tena?

4. Kwa kipindi kirefu tumekuwa na umeme wa ziada wa zaidi ya MW 360 kwenye grid. Uzalishaji umekuwa MW 1,650 wakati matumizi hayazidi MW 1,200 hadi January Makamba anakabidhiwa hiyo wizara. Sasa inakuwaje kuwe na mgawo inapotokea upungufu wa uzalishaji wa MW 100 tu kwa sababu ye yote?

5. Kwa nini JNHPP ambayo ilikuwa ianze kuzalisha MW 2,115 mwezi July 2022 imewekwa kampuni tangia Makamba achukue wizara? Yeye anahangaika na tumiradi twa MW 80 kwa gesi ya Songosongo? Mradi wa kila kijiji na kitongoji kuwa na umeme ifikapo June 2022 nao umewekwa kapuni kwani hata umeme wenyewe haupo.

6. Kwa nnii bodi ya tanesco imesheheni wafanyabiasha binafsi kama akina Gachuma kwenye shirika hili la serikali? Mnataka kuturudisha tulikotoka kwa makapuni binafsi ya Afrika Kusini kutuendeshea shirika letu? Mmesahau yalivyotupiga kweli?
Kama kwa mwezi ni 70B na Mkataba wa miaka 5 ya awali, kwa mwaka ni 12x70= 840B na kwa miaka mitano 840x5=4.2T. Nchii hii inahela sana kama app tu inakodi kwa miaka mitano 4T kwa hiyo miaka 10 8T. Nitagombea urais na mm kwa maana nikikodi app hizi tano tu, hadi kutoka madarakani ndani ya miaka 10 nitavuna 40T na ukiongeza na shirika la ndege basi naweza nikawa zaidi ya Dangote. Urais ni zaidi ya biashara acheni Kelele tukachukue form tugombee
 
Kosa la January ni kuwa mtoto wa Makamba, Kosa la January ni kutofautiana kinawazo na marehemu JPM, Kosa la January ni kuwa na uswahiba na JK..... vinginevyo inawezekana tungemuita kichwa...

January ni moja ya vijana waliokuzwa kuwa viongozi kupitia JK sio mtu wakuzuka tu kama wengine....kiongozi huandaliwa na kuwa na haiba ya uongozi, January aliandaliwa na anaweza kuwa kiongozi mzuri...

Kama binadamu ana mapungufu yake, lakini pia ujana japo ameweza kuwa limitations pamoja na usimamizi mzuri wa mentor wake JK na Kinana..

Taifa lazima liwe na utaratibu na misingi ya kuandaa viongozi katika ngazi mbalimbali na sio kuachia watu wanazuka tu from nowhere wanakuwa viongozi....January, Hussein Bashe, Bashungwa, Riz moko, Nape, Biteko Doto, nk wanaweza kuwa viongozi wazuri..

sijaona mahala alipofanya vibaya zaidi ya pressure na siasa zetu mbovu mbovu kuwin mass support....

Tanesco ni shirika la hovyo linalohitaji mipango madhubuti kutatua changamoto zake permanently sio zima moto.....

Alishatuambia maintenance zilikuwa hazifanyiki na ametuambia mgao utafanyika ili kupisha maintenance and repair for the long run..Ujinga wa kutofanya maintenance ndio huo sasa always lazima jumba bovu lianguke..

Naamini waliokuwa hawafanyi maintenance waliplan kukimbiza ujenzi wa stieggler ili ikianza basi huku kwingine wazibe viraka...Awamu iliyopo imeamuam kubalance mambo kila mahala na sio kuzamisha kwingine kwa sababu ya kwingine... speed ya stieggler naamini itakuwa imepungua ili hela na matumizi yagawike...LA MUHIMU NI MAMA KUKOMAA KUPUMP HELA KWENYE STIEGGLE liishe haraka angalau backup itakuwepo..

Shida kubwa ya kilichofanyika awamu ya tano ni ilele ambayo miaka yote Taifa linakabiliwa nayo, kila awamu kuja namipango yake na kuachana na ya awamu nyingine...Awamu ya Tano iliamua kuanzisha ujenzi wa Stieggler na kuslow uwekezaji wa Kinyerezi kama ilivyokuwa plan ya awamu ya nne ya kuwa strong na stable kupitia gas powered plants....
Preventive maintenance ni muhimu,ili mitambo yetu ifanye kazi vizuri, aidha uamuzi wa kupanua au kujenga mitambo mipya,ni sahihi,ili kuendana na mahitaji ya wateja.

Ushauri
1). Badala ya kutumia siku 10 kufanya matengenezo,waadawa wa TANESCO,(Songas etc),wapunguze muda wa kufanya maintenance kutoka siku kumi (10) mpaka tano(5).
2). Kipindi hiki cha mgao wa umeme, TANESCO nao wafanye matengenezo ya kubadilisha nguzo mbovu ambazo zinasababisha kukatika umeme mara kwa mara.
3). Serikali iwasimamie wakandarasi wa ujenzi wa mradi stigllers gorge ili mradi ukamilike kwa muda uliopangwa.

Angalizo

1). Serikali isitumie tatizo hili la umeme,kufufua mikataba ya kinyonyaji ambayo Serikali ya awamu tano,ilisitisha
2) Serikali isitumie mwanya huu kushajihisha biashara ya Majenereta kama ilivyokuwa awamu ya nne.
 
Kwahiyo unataka miujiza yote hii ifanyike chini ya uwaziri wa Makamba? Hapa mnamuonea au hamumpendi tu.
Hapa siyo suala la kumpenda au kutompenda mtu. Watu wanajiuliza why baada ya kuingia yeye matatizo ndo yameanza? Is it a coincedence? Yule mwingine alitolewa na bodi nzima ya TANESCO ikavunjwa kwasababu gani? Atleast tungeziona hizi changamoto za sasa kwenye uongozi uliokuwepo tungesema tumpe muda atatue. Lakini tunaziona sasa na mbaya zaidi anawatupia lawama waliomtangulia ambao sisi wananchi hatuoni tatizo lao ni nini.
 
Kosa la January ni kuwa mtoto wa Makamba, Kosa la January ni kutofautiana kinawazo na marehemu JPM, Kosa la January ni kuwa na uswahiba na JK..... vinginevyo inawezekana tungemuita kichwa...

January ni moja ya vijana waliokuzwa kuwa viongozi kupitia JK sio mtu wakuzuka tu kama wengine....kiongozi huandaliwa na kuwa na haiba ya uongozi, January aliandaliwa na anaweza kuwa kiongozi mzuri...

Kama binadamu ana mapungufu yake, lakini pia ujana japo ameweza kuwa limitations pamoja na usimamizi mzuri wa mentor wake JK na Kinana..

Taifa lazima liwe na utaratibu na misingi ya kuandaa viongozi katika ngazi mbalimbali na sio kuachia watu wanazuka tu from nowhere wanakuwa viongozi....January, Hussein Bashe, Bashungwa, Riz moko, Nape, Biteko Doto, nk wanaweza kuwa viongozi wazuri..
You need to change your mindset. Wakati mwingine uongozi ni karama ya mungu na uwezo binafsi mtu aliezaliwa nao. So kiongozi anaweza kuwa mtu yoyote yule kutokana na sifa hizo. Kuwa karibu na viongozi hakumaanishi nawwe unaweza kuwa kiongozi bora. Otherwise, tungewaona leo watoto wa Nyerere na Kawawa wakiongoza nchi.

Nakubaliana nawewe kwamba kiongozi huandaliwa, lakini inategemea kiongozi huyo ameandaliwa na nani. Kama kiongozi aliemuandaa alifeli kwenye uongozi wake, unategemea huyo aliemuandaa atakuaje?
 
Back
Top Bottom