Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wananchi wote wanaoathirika na mgao wa umeme ni kundi hilo pekee unalotaja?Hivi ulitarajia wananchi tuchukue chuki zako za usukuma gang dhidi ya waziri au tuchukue kauli ya waziri?
Nani atakuamini wewe?
Huyu jamaa ana matatizo. Kuna some electric signals hazifiki mahali.Kwahiyo wananchi wote wanaoathirika na mgao wa umeme ni kundi hilo pekee unalotaja?
Fuse zina shida asee.Huyu jamaa ana matatizo. Kuna some electric signals hazifiki mahali.
Hamna kitu pale tangu hiyo zamani. Sijui huwa wanatumia vigezo gani kumsifiaHAKA KAPUMBAVU SI MLISEMA KAJINIAZI , Imekuaje tena !!
Wanakula kwa urefu wa kamba zao, mikataba fake kawapa wahindi ambao hata shughuli watakayofanya haieleweki, bodi iliisambaratisha kwa sababu ya maslahi, ni aibu, ''Majuto mjukuu.'' Makamu wa Rais aliwaonya hawa wachumia tumbo kuto kupeleka mafaili kwa Rais SSH bila kuwa yamejitosheleza. Huu ugoigoi tunaupta kwa Rais SSH.Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza kukatika katika.
Baada ya muda akarudisha watu wale wale kwenye bodi ya Tanesco ambao JPM aliwatoa, ambao walikuwepo kipindi cha kata kata ya umeme.
Tulianza kuambiwa umeme unakatwa kwa sababu ya marekebisho ya miundombinu.
Haukupita muda tukambiwa katika katika ya umeme ni kwa sababu ya ukame na maji kupungua kwenye mabwawa ya uzalishaji. Mungu si athumani mvua zikamwagika
Sasa tumetangaziwa officially kuhusu mgao ambao umekuwepo kwa miezi kadhaa, mara hii tukiambiwa ni kwa siku 10.
Huyu mtu hafai hii wizara. Dunia ya leo mgao wa umeme linatakiwa liwe jambo la kufikirika. Rais Samia toa huyu mtu hapa, kuna 'wizara za kuchezea' ila sio hii.
NB: HAIWEZEKANI HATA MWAKA HAUJAPITA TANGU JPM AFARIKI TAYARI TUNAELEKEA PRE-JPM ERA KWA KASI YA KIMBUNGA.
Sasa waziri wako mwenyewe alisema "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.Mjadala muhimu wa kumtaka Makamba ajiuzulu ili umeme uache kukatika!.?? God forbid!
Unataka nani aingie? Kalemani?.
Ni lini nchi hii umeme ulikuwa haukatiki?
Siyo kweli. Mara ngapi Kalemani ameutangazia umma kwamba mgao wa umeme utakuwa historia na bado ukaendekea kukatika. Nikikuita sukuma gang nitakosea?Before JM hakukuwa na mgao
Tulishatoka huko Kwa kipi kipya kilichofanyika halafu kikatutoa huko?Hatuwezi progress towards digital transformation kwa kukata kata umeme. Tulishatoka huko since 2015. Kwanini tunarudi tena?
Unaishi wapi huko ambako kwenye awamu ya 5 kulikuwa na mgao wa umeme? Unofficially au officially?Siyo kweli. Mara ngapi Kalemani ameutangazia umma kwamba mgao wa umeme utakuwa historia na bado ukaendekea kukatika. Nikikuita sukuma gang nitakosea?
Tulishatoka huko Kwa kipi kipya kilichofanyika halafu kikatutoa huko?
Kwann wasilichakate tatizo na mzizi wake badala yake wanakimbilia kusema Makamba atoke? Yaani Makamba kageuka kuwa transformers. Kwamba alivyoingia akagoma kuzalisha umeme?Kwahiyo wananchi wote wanaoathirika na mgao wa umeme ni kundi hilo pekee unalotaja?
Vyovyote iwavyo mgao ni mgao tu, whether ni official ama unofficial. Mgao haijawahi kukoma tangu nchi hii kupata Uhuru wake.Unaishi wapi huko ambako kwenye awamu ya 5 kulikuwa na mgao wa umeme? Unofficially au officially?
Labda uko ulikokuwa wewe ila Tanzania ilikuwa haina hayo mambo kwenye 5th phaseVyovyote iwavyo mgao ni mgao tu, whether ni official ama unofficial. Mgao haijawahi kukoma tangu nchi hii kupata Uhuru wake
Serikali ya mama iko wazi Sana haina mambo ya kuficha fichaLabda uko ulikokuwa wewe ila Tanzania ilikuwa haina hayo mambo kwenye 5th phase
Sasa waziri wako mwenyewe alisema "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.Siyo kweli. Mara ngapi Kalemani ameutangazia umma kwamba mgao wa umeme utakuwa historia na bado ukaendekea kukatika. Nikikuita sukuma gang nitakosea?
Tulishatoka huko Kwa kipi kipya kilichofanyika halafu kikatutoa huko?
Hakuna anaekataa, ila swala la kuwa umeme upo au haupo utadanganyaje?😂 wewe ulikuwa ukipita mtaa wa msimbazi katika awamu ya 5, ulikuwa unaisikia noise pollution kama ile ilokuwa inafanywa na vijenereta vya wafanyabiashara. Mimi sikuwa fan wa JPM, as a matter of fact nilikuwa nadisagree mengi alofanya ila kwenye umeme hakukuwa na mambo kama za awamu ya 4.FACTSerikali ya mama iko wazi Sana haina mambo ya kuficha ficha
Lile jini lilipiga marufuku kutangaza --wagonjwa wa kipindupindu
--wagonjwa wa Zika
--wagonjwa wa korona
- na mgao wa umeme
Kila kitu kikawa kinafanywa gizani
Ndiyo maana hata lenyewe likaficha kuumwa kwake likafia gizani
Sasa waziri wako mwenyewe alisema "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.Unaishi wapi huko ambako kwenye awamu ya 5 kulikuwa na mgao wa umeme? Unofficially au officially?
Mgao ni nchi nzima ... hata wewe utakuathiri tu. It will rain ☔️ for all of usAcha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule
Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.
Lkn hata Sasa ufafanuzi umetolewa kwamba hakutakuwa na mgao wa nchi nzima. Halafu wanakataa umeme ktk baadhi ya maeneo kwa siku kumi tu na lengo kubwa ni kupanua grid. Wanaongoza Megawati 350 kwenye grid ya taifa toka Kinyerezi 2. Sasa hizi kelele za mgao zinatoka wapi?Hakuna anaekataa, ila swala la kuwa umeme upo au haupo utadanganyaje?😂 wewe ulikuwa ukipita mtaa wa msimbazi katika awamu ya 5, ulikuwa unaisikia noise pollution kama ile ilokuwa inafanywa na vijenereta vya wafanyabiashara. Mimi sikuwa fan wa JPM, as a matter of fact nilikuwa nadisagree mengi alofanya ila kwenye umeme hakukuwa na mambo kama za awamu ya 4.FACT