samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Kosa la January ni kuwa mtoto wa Makamba, Kosa la January ni kutofautiana kinawazo na marehemu JPM, Kosa la January ni kuwa na uswahiba na JK..... vinginevyo inawezekana tungemuita kichwa...
January ni moja ya vijana waliokuzwa kuwa viongozi kupitia JK sio mtu wakuzuka tu kama wengine....kiongozi huandaliwa na kuwa na haiba ya uongozi, January aliandaliwa na anaweza kuwa kiongozi mzuri...
Kama binadamu ana mapungufu yake, lakini pia ujana japo ameweza kuwa limitations pamoja na usimamizi mzuri wa mentor wake JK na Kinana..
Taifa lazima liwe na utaratibu na misingi ya kuandaa viongozi katika ngazi mbalimbali na sio kuachia watu wanazuka tu from nowhere wanakuwa viongozi....January, Hussein Bashe, Bashungwa, Riz moko, Nape, Biteko Doto, nk wanaweza kuwa viongozi wazuri..