Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Maneno mengi mno, lakini bado umetembea na beat, nimekwambia kiongozi wa kutengenezwa ni kiongozi wa michongo, ndio maana umetolea mifano yako kwa kocha wa Chelsea licha ya kipaji alichonacho wakaona potential alizo nazo wakampa training kwendana na wakati kwasababu kipaji hakifundishwi bali kinajengewa misingi ya kuendelea kuwepo. Ndio maana wakamtenfenezea misingi yao ili michongo yao iende.Hata football ni kipaji, ila watu wapo ulaya wanacheza mpira kwa kufundishwa darasani tena wote wasio na vipaji na walio na vipaji..
Uongozi ni kipaji na sio kipaji pia, wapo ambao wanaweza kuwa viongozi kwa kukuzwa na kupewa mafunzo... ndio maana kukawa na succession plan, zaliwa basi na kipaji cha uongozi na usiende shule ukitimiza miaka 20 upewe UCEO wa shirika fulani uone...
Tuchel kocha wa Chelsea, kuna vitu alikuwa analack lakini chelsea mgt ikampa watu kumtrain na kumshape in the way wanayotaka wao... Germany waliendesha program maalum ya kuwa na best managers in football ndio hii kariba unaona yakina Tuchel, Klopp nk.. proper trained and well prepared..
Lakini ukiangalia kwa huyo bwana makamba hana kipaji zaidi zaidi ana tamaa ambapo kupitia tamaa alitengenezwa kuja kuwa futa makalio wale waliomfundisha. Aliwatumia then now nae ana tumiwa.