Kwa Kalemani mbona hamkupiga kelele? Au kwa kuwa alikuwa sukuma gang?Mkuu umeme utakua unakatika kwa wasukuma tu?
Uwajibibikaji, ikiwa taasisi chini ya wizara yako imefeli basi unapaswa kujiuzulu ndio maana leo hii jeshi la polisi limefeli na tunamtaka sirro ajiuzulu, hatuna maana kwamba sirro ndio kawatuma wale polisi waue.