Umeandika kihisia sana ndg yangu,punguza hasira.....Hii kauli ya kama una tatizo Samia kuwa Rais, au yeye Makamba kuwa waziri naona ina kitu ndani yake..
Hawa jamaa kwenye mind zao sasa wanaamini hawapendwi na wale wote wanaowauliza maswali kuhusu utendaji wao, wanajiona kama wanaonewa wivu.
Hii tabia ndio inayowafanya wawe wabinafsi, watengeneze michoro ya kutupiga kwenye wizara zao, refer $30mil za maintanance, na Samia anajikuta anakuwa either muoga kumshughulikia mtoto wa rafiki yake, au anamuonea aibu.
Hawa wanapolipeleka hili taifa ni pabaya, wanatuonesha wazi wao ndio "the choosen one" madaraka waliyozoea kuwa nayo yamewalevya mpaka sasa akili zao zimelala, kwa haya majibu yao wanatengeneza chuki isiyotakiwa.
Mwee!Hapo kwa shemeji yako unapolala sebuleni ndiko umejenga magorofa?
Nakuzingua mkuu,usije ukakasirka bure.Mwee!
Hii kauli ya kama una tatizo Samia kuwa Rais, au yeye Makamba kuwa waziri naona ina kitu ndani yake..
Hawa jamaa kwenye mind zao sasa wanaamini hawapendwi na wale wote wanaowauliza maswali kuhusu utendaji wao, wanajiona kama wanaonewa wivu.
Hii tabia ndio inayowafanya wawe wabinafsi, watengeneze michoro ya kutupiga kwenye wizara zao, refer $30mil za maintanance, na Samia anajikuta anakuwa either muoga kumshughulikia mtoto wa rafiki yake, au anamuonea aibu.
Hawa wanapolipeleka hili taifa ni pabaya, wanatuonesha wazi wao ndio "the choosen one" madaraka waliyozoea kuwa nayo yamewalevya mpaka sasa akili zao zimelala, kwa haya majibu yao wanatengeneza chuki isiyotakiwa.
Bora umeelewa somo.Nakuzingua mkuu,usije ukakasirka bure.