January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

Bora umeelewa somo.
Mfano leo kulikuwa na mkutano kati ya Global fund na mheshimiwa. Ummy Mwalimu alituwakilisha.
Pembeni nashangaa kumuona waziri mwingine.
Nikajiuliza. Kwani Global fund wanahusika na kufadhili national budget!
So, utaona mawaziri wengine wanajichomeka kwenye shughuli zisizowahusu kutafuta publicity.
Unapokuwa finance unatakiwa ushughulike na mambo ya World bank na IMF huko. Haya ya Global fund waachie mawaziri wenzako, wewe wabaki kukupa ripoti.
Hii ndio division of labor!
Kwani Global Fund ni ni pesa? Na je unau elewa hata kidogo kuhusu Financial inteligence?
 
Kwani Global Fund ni ni pesa? Na je unau elewa hata kidogo kuhusu Financial inteligence?
Wewe nawe unachanganya madesa.
Global fund ni taasisi inayofadhili miradi ya afya.
Global fund haihusiki kufadhili bajeti ya serikali.
 
Wewe nawe unachanganya madesa.
Global fund ni taasisi inayofadhili miradi ya afya.
Global fund haihusiki kufadhili bajeti ya serikali.
Pesa yoyote inayofadhili mradi wowote hata kama ni NGO lazima serikali ijue
 
Electrical Engineer Kipara,aka kajamaa kanatuonaje kwani!!!!
 
Pesa yoyote inayofadhili mradi wowote hata kama ni NGO lazima serikali ijue
Yeah. But ni kupitia wizara ya afya.

Juzi tulikuwa na Nane nane, shughuli iliyokuwa inahusu kina Bashe, watu wa wizara ya kilimo, pembeni unashangaa 'watu wa Finance' wapo!

Tena juzi kati kulikuwa na sherehe za utamaduni kule Kizimkazi- Zbar badala ya kina Mchengerwa kuwepo, unashangaa kuwaona 'watu wa Finance' wapo!

Pale Njombe kulikuwa na shuguli ya bara bara, badala ya kuwaona watu wa ujenzi, kina Mbarawa, umashangaa watu wa Finance ndio wametamalaki!

Ndio maana tunasema uchawa umezidi.

Kila mawaziri wacheze kwenye zone zao na kutoa nafasi kwa mawaziri wengine kufanya kazi na raisi.
 
🤣🤣🤣wanatafuta Perdiem kwa mbinde sana
 
🤣🤣🤣wanatafuta Perdiem kwa mbinde sana
Mkamba na Mgulu wanautafuta uraisi kwa nguvu kubwa (na pengine, kwa 'gharama yeyote'). I can conclude that way.
Kwa usalama wa maza ni bora wangepelekwa ubalozini (wakapotelee huko) kama Nchimbi alivyopelekwa Brazil.
'Maza akiendelea kucheka nao, atavuna mabua'.
Mwisho wa taarifa!
 
Waziri atuambie aliwahi kufaulu wapi ili tuanzie hapo
jamaa alianza kufeli na kuiba tokea zamani anabebwa tu kwa jina la baba

Sisi hatuna tatizo na mama kuwa Rais tunatatizo na ww je tutafute lingine lipi?
 
Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi

Attachments

  • IMG-20221106-WA0065.jpg
    IMG-20221106-WA0065.jpg
    27.5 KB · Views: 7
Mkamba na Mgulu wanautafuta uraisi kwa nguvu kubwa (na pengine, kwa 'gharama yeyote'). I can conclude that way.
Kwa usalama wa maza ni bora wangepelekwa ubalozini (wakapotelee huko) kama Nchimbi alivyopelekwa Brazil.
'Maza akiendelea kucheka nao, atavuna mabua'.
Mwisho wa taarifa!
Mwigulu angepewa ubalozi wa hapo Haiti ingependeza, only if haiwezekani kutupa dampo kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom