January Makamba njoo CHADEMA uwe mgombea urais mwaka 2020

Salaam.

Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.

Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapiga kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.

Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.
Mumeo hajambo?
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Kwanini CHADEMA mnapenda sana Kuchukua Makapi ya kutoka CCM na hamjiamini katika Kuwaandaa na Kuwapika Watu wenu wenyewe? Huu nao ni Udhaifu kwa upande wenu na ni kama vile bado hamjajifunza kutokana na Fundisho la Lowassa hadi akawakimbieni. Japo Mimi mwana CHADEMA ( bali ni Mtu tu wa Kawaida ) ila ninachojua ni kwamba kuna Watu wengi huko huko CHADEMA Kwenu wenye si tu Uwezo bali hata Utashi wa kuweza kuwa Wagombea Urais kuliko hata hiyo Mizoga ambayo huwa mnaipokea kutoka CCM.
Yaani unaliamini hilo batamzinga?
 
Twende na Membe 2020
Twende na Antiphas 2020
Twende na Membe 2020
Twende na Makamba 2020
Twende na Mdude 2020
Twende na Nyarandu 2020
Twende na Mdee 2020
Twende na Kinana 2020
Twende na Ngeleja 2020
Twende na Nape 2020
Twende na Hawa 2020
Twende na January 2020
Twende na Mwigulu 2020
CDM mna PHD ya ulaghai
CCM mna PhD ya utaahira
 
Kitendo cha CDM kumkubali Lowassa na kumpa agombee urais ilikua proof tosha kua na wao nao ni ovyo sawa na CCM yenyewe tu, kumchukua mwizi alafu wanamsafisha kisa walidhani watapata kura ni utako wa hali ya juu. Uchama ni tatizo kubwa sana Tanzania, watu wangepunguza kufocus kwenye uuzaji sura na kufocus kwenye mambo ya msingi tusingekua hapa tulipo.
Kura zilitosha sana tu kama unabisha muulize January
 
Salaam.

Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.

Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapiga kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.

Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.
We hauko CDM unawezaje kukaribisha watu? Hovyo?
 
Mtoa mada Ni wale wale wajinga wa ccm mna hangaika kutetea mtu anayevunja katiba kwa makusudi
 
Hahah. Hicho.ndio kinachowafanya kuona hii nchi kama yenu. Waliokuja na ccm washakufa sio nyinyi waapuuzi. Kwa hiyo mnahisi hata madara mna haki zaidi ya wengine
Umenena vyema ndugu. Wapumbavu sana hawa. Walishaona kuwa wanahati miliki ya uongozi wa nchi hii. Kwasasa naona hawaamini kuwa magu kawanyoosha wanaweweseka.
 
Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.
Kwani huko CCM atakuwa amechoka kufumua kin..mb....cha mamako?
 
Hatutaki ya lowassa kuja kujirudia tena mtu anajifunza kwa makosa January wanini tena
 
Salaam.

Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.

Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapiga kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.

Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.

Endelea kumpigia Debe January hautashinda
 
Back
Top Bottom