Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpumbavu sana,ana majibu fulani ya kindezi ambayo ukikaa ukayatafakari ni as if haongei na taifa ni kama vile anaongea na wazee wa kisambaa kule Bumbuli waliolewa pombe ya muwa.Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Hizi ndiyo brains za CCM na hata mkichagua wenye brains kuwashinda ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria.
Huko ndiko walikua wanapiga.Hawa vijana wamemuuzia Samia mbuzi kwenye gunia kiasi kwamba anaamini hadithi zao kuhusu matatizo ya Umeme nchini! Akihojiwa na AZAM TV Rais alisikika akisema matatizo ya umeme yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na uchakavu wa miundombinu yake!! Hii hadithi mara ya kwanza tulianza kuisikia kutoka kwa January kama justification ya hoja yao ya kuponda utendaji wa serikali ya Magufuli kuwa mitambo haikuwa inafanyiwa maintenance hivyo uchakavu wa mitambo!!
Samia ameamini uongo huo kwasababu ukienda kwenye budgets za TANESCO za miaka ilyoipita Wakati wa Magufuli na hata kabla ya hapo shirika lilikuwa linatumia fedha nyingi sana kwa matengenezo ya mitambo!! Hivyo hii hoja ya uchakavu wa mitambo inatumuka ili shirika litengewe fedha nyingi za kununua mitambo mipya kwani huko ndio kwenye 10% zao!! It is very unfortunate that she is being easily duped by these inexperienced wannabes.
Katika hao wenzake walioukwaa ubunge kwa vimemo, Nani unadhani anaweza ku handle hii wizara kwa akili Kama sio business as usual.Msambaa hovyo kabisa!
Wasiachwe wakabebe lumbesa za viazi wanapewa kazi nyeti za kutumia akili nyingi.
Huyu naye!!! Kwani nani kamwambia tunazalisha mafuta!!! Tunapolalamika kwani hatujui kwamba hatuzalishi!!! Wapunguze hizo tozo ni nyingi na kubwa mno!!!!Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja iliyotolewa na Mbunge wa Kilindi, Omari Mohamed Kigua, ya kusimamisha shughuli za Bunge zilizokuwa zikiendelea ili kujadili hali ya mfumuko wa bei ya mafuta nchini.
"Wote tunajua bei za mafuta zimepanda duniani na sisi kama nchi sio wazalishaji wa mafuta tunanunua mafuta kutoka nje na sehemu kubwa ya bei ya mafuta inayopangwa nchini inatokana na gharama ya mafuta yenyewe, gharama ya kuleta, kodi na tozo mbalimbali na gharama za kufanya biashara yenyewe hapa nchini," amesema Waziri Makamba
View attachment 2212801
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ile ishu ya kukataza mifuko ilimpa Credit sana ila daah jamaa mweupe sanaa kichwaniHuyu jamaa ni overrated sana lakini hawezi ongoza hata Ng'ombe!
Hamzalishi mafuta kwa sababu hamjataka kuzalisha, matumizi mabovu ya pesa za umma ni mengi kupita maelezo.Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja iliyotolewa na Mbunge wa Kilindi, Omari Mohamed Kigua, ya kusimamisha shughuli za Bunge zilizokuwa zikiendelea ili kujadili hali ya mfumuko wa bei ya mafuta nchini.
"Wote tunajua bei za mafuta zimepanda duniani na sisi kama nchi sio wazalishaji wa mafuta tunanunua mafuta kutoka nje na sehemu kubwa ya bei ya mafuta inayopangwa nchini inatokana na gharama ya mafuta yenyewe, gharama ya kuleta, kodi na tozo mbalimbali na gharama za kufanya biashara yenyewe hapa nchini," amesema Waziri Makamba
View attachment 2212801