January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja iliyotolewa na Mbunge wa Kilindi, Omari Mohamed Kigua, ya kusimamisha shughuli za Bunge zilizokuwa zikiendelea ili kujadili hali ya mfumuko wa bei ya mafuta nchini.

"Wote tunajua bei za mafuta zimepanda duniani na sisi kama nchi sio wazalishaji wa mafuta tunanunua mafuta kutoka nje na sehemu kubwa ya bei ya mafuta inayopangwa nchini inatokana na gharama ya mafuta yenyewe, gharama ya kuleta, kodi na tozo mbalimbali na gharama za kufanya biashara yenyewe hapa nchini," amesema Waziri Makamba

View attachment 2212801
Screenshot_20220505-201508.png

Duuuh 😳😳😳
 
Hizi ndiyo brains za CCM na hata mkichagua wenye brains kuwazidi ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria.

We Mama nikukute pale Central Police,,, ukifika waambie mimi nimekuita.... huwezi sema ukweli na tukawa tunakuangalia tu...

Makamba akili zake ni za kuwadanganya wazee wa Lumumba,, sasa anajisahau anakuja kuwaeleza na vijana...
 
Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja iliyotolewa na Mbunge wa Kilindi, Omari Mohamed Kigua, ya kusimamisha shughuli za Bunge zilizokuwa zikiendelea ili kujadili hali ya mfumuko wa bei ya mafuta nchini.

"Wote tunajua bei za mafuta zimepanda duniani na sisi kama nchi sio wazalishaji wa mafuta tunanunua mafuta kutoka nje na sehemu kubwa ya bei ya mafuta inayopangwa nchini inatokana na gharama ya mafuta yenyewe, gharama ya kuleta, kodi na tozo mbalimbali na gharama za kufanya biashara yenyewe hapa nchini," amesema Waziri Makamba

View attachment 2212801
Huo ndio ukweli
 
jamaa sijui anashida gani?

mbona kapwaya sana kwenye hiyo wizara?
 
Huyu wampe wizara zile nyoro nyoro! Mazingira sijui au mifugo huko. Huko akipewa unaweza sema huyu ni Einstein. Sio wizara critical. Hamna kitu humo. Debe tupu😂
 
Alfu hili jamaa linajiaribia San future Yale na ndoto zake za kuwa rais hatuwez kuwa na rais wa namna hi Kama taifa Ni Bora tuwepe skm ganga kuliko huyu jamaa

Makamb junior na senior ni zerooo brain
 
Ila kwahii kauli waziri kakosea. Hili sio jibu lakutupa sisi. Inamaana Zanzibar ambako mafuta ni 2600 wao wanazalisha mafuta?
Ametukosea sana waziri.
Ifanyike namna kwa njia ya elimination method kuwa eliminate moj kwa moja watu wanaowapa watz matezo kwa faid za kwao wenyewe elimination method ndio itafaha
 
Back
Top Bottom