goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Debe tupu ksbdaHuyu wampe wizara zile nyoro nyoro! Mazingira sijui au mifugo huko. Huko akipewa unaweza sema huyu ni Einstein. Sio wizara critical. Hamna kitu humo. Debe tupu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Debe tupu ksbdaHuyu wampe wizara zile nyoro nyoro! Mazingira sijui au mifugo huko. Huko akipewa unaweza sema huyu ni Einstein. Sio wizara critical. Hamna kitu humo. Debe tupu[emoji23]
Makamba ni mweupe sana kichwani hajui kujenga hoja wala kujielezaMsambaa hovyo kabisa!
Wasiachwe wakabebe lumbesa za viazi wanapewa kazi nyeti za kutumia akili nyingi.
Hata sijui tuite kupwaya, au kiuhalisia jamaa sio smart kama anavyolazimisha watu tuamini, hii wizara ni nyeti sana, bila kuwa mtu mwenye upeo, mafuta yatafika elfu 5 kwa lita, japo tayari Kigoma ni elfu 5 kwa sasa.jamaa sijui anashida gani?
mbona kapwaya sana kwenye hiyo wizara?
Hata mimi tangu apewe wizara yuko kama mtoto mdogo asiyejua cha kufanyaNouma sana, kiukweli hata kama tunasema jiwe alikuwa na chuki ila kwa huyu jamaa hakukosea kumtosa mazima.
Kigoma mzigo ni elfu 5 na point kadhaa, halafu Waziri husika anatoa majibu mepesi as if wanaohoji ni wehu au, hata sijui anawaza nini?Sawa... swali la muhimu ni kwanini Znz bei 2600 na hapa Dar ni 3100? Bila kutueleza hivyo, maana yake kuna kitu cha ziada, maana Zanzibar hawazalishi mafuta
Ili kulindana, lolote linawezekana, kwa jinsi JIWE alivyowafanya sidhani kama watarudia kuchagua mtu ambaye hayupo kwenye Circle yao, ila ndio inatokea jamaa anakuwa top kama anavyotaka, woooh!Alfu hili jamaa linajiaribia San future Yale na ndoto zake za kuwa rais hatuwez kuwa na rais wa namna hi Kama taifa Ni Bora tuwepe skm ganga kuliko huyu jamaa
Makamb junior na senior ni zerooo brain
Kuna muda unafurahisha sana.Acha tu atudharau maana sukuma gang nyie sio kudharau tu, bali hata kuteka na kuua watu mlifanya sana.
Wanataka vitendo.Waziri yupo smart sana kwenye majibu anayotoa shida wananchi wenye hasira kali hawataki kumwelewe ndio maana alisema au tatizo ni huu uwaziri[emoji23][emoji23] .
Hili la Zanzibar limewavua nguo... tofauti ya tsh 500 maana yake kuna kitu hakiko sawa. Either uagizaji wetu ni mbovu au tozo na kodi zimezidi.Kigoma mzigo ni elfu 5 na point kadhaa, halafu Waziri husika anatoa majibu mepesi as if wanaohoji ni wehu au, hata sijui anawaza nini?
Wakati wako Jamuhuri ya Twitter, walifikiria wakipewa uongozi ndio wakati wa kuupiga mwingi...sasa wote umemwagika hata katikati ya safari hatujafikaMsambaa hovyo kabisa!
Wasiachwe wakabebe lumbesa za viazi wanapewa kazi nyeti za kutumia akili nyingi.
Ni smart mdomoni Ila sio kwenye ubongoHuyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Mbona dar ni 3100 wakati tarime ni 3300Sawa... swali la muhimu ni kwanini Znz bei 2600 na hapa Dar ni 3100? Bila kutueleza hivyo, maana yake kuna kitu cha ziada, maana Zanzibar hawazalishi mafuta
ndo uwezo wake wa akili umeishia hapo ila analamba asali kinoomanoomaIla kwahii kauli waziri kakosea. Hili sio jibu lakutupa sisi. Inamaana Zanzibar ambako mafuta ni 2600 wao wanazalisha mafuta?
Ametukosea sana waziri.