January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Ni mpumbavu sana,ana majibu fulani ya kindezi ambayo ukikaa ukayatafakari ni as if haongei na taifa ni kama vile anaongea na wazee wa kisambaa kule Bumbuli waliolewa pombe ya muwa.

Hayo maneno angeyazungumza akiwa Bumbuli angepigiwa makofi.
 
Hizi ndiyo brains za CCM na hata mkichagua wenye brains kuwashinda ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria.

Hawa vijana wamemuuzia Samia mbuzi kwenye gunia kiasi kwamba anaamini hadithi zao kuhusu matatizo ya Umeme nchini! Akihojiwa na AZAM TV Rais alisikika akisema matatizo ya umeme yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na uchakavu wa miundombinu yake!! Hii hadithi mara ya kwanza tulianza kuisikia kutoka kwa January kama justification ya hoja yao ya kuponda utendaji wa serikali ya Magufuli kuwa mitambo haikuwa inafanyiwa maintenance hivyo uchakavu wa mitambo!!

Samia ameamini uongo huo kwasababu ukienda kwenye budgets za TANESCO za miaka ilyoipita Wakati wa Magufuli na hata kabla ya hapo shirika lilikuwa linatumia fedha nyingi sana kwa matengenezo ya mitambo!! Hivyo hii hoja ya uchakavu wa mitambo inatumuka ili shirika litengewe fedha nyingi za kununua mitambo mipya kwani huko ndio kwenye 10% zao!! It is very unfortunate that she is being easily duped by these inexperienced wannabes.
 
Huko ndiko walikua wanapiga.

Magu akawakatia mrija huo.
 
Wanaleta ghadhabu hawa, huyu hafai kukalia ofisi za Umma.

Waziri mwenye dhamana anakuja na majibu mepesi kwenye suala muhimu kama hili.

Kwa nini wasiindoe hizo tozo ili bei ya mafuta ishuke..

Bei ikishapanda kila kitu kinapanda muathirika ni mtumiaji wa mwisho.
 
Msambaa hovyo kabisa!

Wasiachwe wakabebe lumbesa za viazi wanapewa kazi nyeti za kutumia akili nyingi.
Katika hao wenzake walioukwaa ubunge kwa vimemo, Nani unadhani anaweza ku handle hii wizara kwa akili Kama sio business as usual.
Nani ana udhubutu wa kuondoka angalau hiyo excise duty ili uchumi upumue.
Tukubali tu bila katiba mpya tumeumia
 
Huyu naye!!! Kwani nani kamwambia tunazalisha mafuta!!! Tunapolalamika kwani hatujui kwamba hatuzalishi!!! Wapunguze hizo tozo ni nyingi na kubwa mno!!!!
 
Hamzalishi mafuta kwa sababu hamjataka kuzalisha, matumizi mabovu ya pesa za umma ni mengi kupita maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…