January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

Nadhani wanatengeneza huu uhaba feki ili ionekane njombe nguzo zimeisha, kwahiyo mtu wao wa huko South Africa atapewa dili la kuagiza nguoz ili kuondoa uhaba, Makambako sijawahi kumwamini yule fisadi wa mifuko ya plastiki
 
Huo ni uongo, manguzo yamejaa kila mahali, kama Kinyerezi kule zimejaa hata pakuyaweka hamna
Pigia mameneja wa tanesco wafuatao waulize kama wanazo nguzo na meta 1. 0784-422884
2. 0784-390625
3. 0682-304430
Wakikuambia zipo ingia in box nakupatia 1, 000,000 Tsh
 
Huyu makamba ni tatizo toka awekwe hapo kila siku kelel ni yeye tu sio bure ana utaka u raisi

SUBIRI KIDOGO
Autake mara ngapi? Akat ndo yupo ktk mkakati. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utawala wa kishenzi wa Magu umeleta matokeo mabaya sana. Tumerudi nyuma miaka 20. Haya ya leo ni matokeo.
Kivuli cha Magu kinawatesa eee? Na Bado IPO siku mtatajana!!. Damu aipotei.
 
wateja wanasubiri mita za umeme tangu mwezi July hadi leo, hata dalili za upatikanaji hazipo, kweli hili ni tatizo kubwa sana unajiuliza hivi Tanesco wanafanya biashara ama Huduma ? kwenye hili Makamba sikutetei una kesi ya kujibu.
Mkome!
 
Sikia bwanamdogo!

Kuna watu wamelipia kwa garama za 350,000 na bado hawapati umeme!
 
Genge la wahuni na wapigaji limerudi kwa speed ya mwanga. Nguzo zitatoka SA ili muendelee kupiga. Fvck!
 
We kweli maqu, ruzuku ya serikali si inafidia kufukia hiyo 150000
 
Magufuli alisema mtanikumbuka na sasa kweli tunamkumbuka mapema mno!
Nchi imefilisika chanzo ni huyo mliyekuwa mnamsujudu in five years kakopa tr 10+
 
We kweli maqu, ruzuku ya serikali si inafidia kufukia hiyo 150000
sijui imekuwaje huko hazina maana kama ni hiyo ruzuku ya serikali unayosema basi haijaenda huko toka july kufidia ili ziletwe!!
 
Gharama za kufunga umeme ni zaid ya sh 200000/ magu akaleta siasa eti 27000/ sasa shirika linazama!!!
 
RUSHWA NI ADUI WA MAENDELEO.........leo hii maendeleo yako binafsi bila kuyatolea rushwa...umekwama hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…