FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nadhani wanatengeneza huu uhaba feki ili ionekane njombe nguzo zimeisha, kwahiyo mtu wao wa huko South Africa atapewa dili la kuagiza nguoz ili kuondoa uhaba, Makambako sijawahi kumwamini yule fisadi wa mifuko ya plastikiNguzo zitaletwa toka nje kama zama zile,, Kalemani alipiga stop wamemtoa wakati miti iko kibao huko Njombe
Makamba ni link kati ya wapigaji na wahujumu na serikali na ndiyo kazi aliyoletewa hapo na hiyo wizara mnaijua siyo ya kumuweka mzalendo,,, Habari za daraja la Kigongo Busisi mnazo?????? hatusemi,,,,hakuna pesaaaa na kazi siyo day and night tena