January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

Ndugu, yaani miaka mitano mitambo itumike bila matengenezo yeyote?
 
Ajiuzulu kwa kosa gani?.....aliyemteua amemuamini

Sisi ndio tumempa kura…aondokeeee hatumtakiii

Yuko pale kutupa umeme ilitufanye shughuli za maendeleo sasa umeme hatuuoni wakati tulikuwa tunauona miaka mitano uko nyuma bila shida…na tuliaambiwa kwanini tulipata shida za umeme hapo awali, ili watu wauze majenerator, kashfa za Richmond sijui Escrow sasa watu walewale wameshika mpini….sasa watanzania tunasema kwa sauti kubwa wote HAPAAANAA…tumechezewa vyakutosha…

Waziri ajiuzuluuu
 

Huyu ana ajenda zake za kupiga deal kama za escro na richimond
 
Huyo Makamba msenge sana! Sema mama ana uislam mwingi anatoa mawaziri wachapakazi kisa ni wakristo! Kalemani,Lukuvi,Kabudi walikosea nini? Anatuletea watu mapunguani kama Makamba!


Asepeeee
 
Akijiuzulu ndio changamoto zitaisha?...tuacheni kuwaza kimazoea mazoea....Makamba anatimiza wajibu katikati ya changamoto ambazo hazijaanza jana wala juzi
 


Hapo ni downhill tu usitegemee improvement zozote wizara ya nishati.

Kitu pekee atakachotoka nacho hapo ni kujifunza uongozi sio urafiki, na ukifanya ivyo huyo mtu awe na sifa sahihi.

Kuna sector ni technical uwezi kuokota tu watu ukawaweka inakuwa rahisi sana kuongopewa, kibaya zaidi wameingia na mikwara juu badala ya ku win support ya wataalamu kuwa upande wao.

Wangemuuliza ni vipi mvua kidogo inaharibu miundombinu ya vituo inavyopokea umeme pamoja na uchakavu wake; asingeweza kujibu miaka 800.

Nunua tu generator kwa sasa hakuna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…